Nimechoshwa na U.T.I naombeni msaada

Hata mimi niko nayo tele
Nilijipeleka hospital dr akaniambia nikudunge sindano 5 nikamwambia subiri kwanza nikajipange......naskia dawa za uhakika ni hizo za mitishamba but sijui nitazipatia wapi kwa hapa Dsm
 
Kweli miti shamba iko mingi sana haina chenga kwenye kutibu U.T.I hata iwe kongwe au ya kurithi. Brother na wewe achana na kina sikuzani tafuta kina angel, lucky, Nancy etc
 
Pamoja na dawa mnazoshauriana, ni muhimu kwanywa maji mengi kadiri uwezavyo (kila siku) kwani husaidia kuflash bakteria waojipenyeza kweny njia ya mkojo.

Pamoja na taadhari zilizoelezwa na wadau mbalimbali kama vile masuala ya usafi n.k ! Sometimes kunaweza kua na mapungufu kidogo/missing link katika matibabu ya mgomjwa haswa katika suala zima la vipimo !! Wako wagomjwa wanajikuta kwenye tatizo kama lako na kuangaika na matibabu kwa muda mrefu kumbe tu ni kwamba hawakufanyiwa kipimo cha CULTURE AND SENSITIVITY TEST !!!
 
Jamani ebu nipeni ushauri kweli naweza kupona U.T.I na je ni njia gani nifuate nimechoka mwenzenu kupoteza hela zangu kila siku hosptali!
Nitafute mimi nipate kukutibia huo ugonjwa wako wa UTI kwa muda siku 21 upate kupona. Maradhi ya UTI Siku hizi hayasikii dawa za hospitali utamaliza dawa za Hospitali hutoweza kupona. Ukihitaji tiba toka kwangu unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Tumia condom ndugu wanaume wengi wanaambukizwa UTI na wanawake wachafu inaonesha unanyota ya KUNGUNI ya kupata mademu wachafu hasahasa wa uswazi ndo wanaUTI sana.

Jaribu kutafuta pussy safi za ukweli grade A
Duuuuuh
Unamfundisha ufuska?
 
Ila pia yawezekana una ugonjwa mwingine, madaktari siku hizi nao wengine wamekariri kuwa ikienda kwao na maelezo yako basi una UTI.
 
Kunywa maji lita 5 kwa siku itaisha
Katika hali ya kawaida hata uwe mnywaji wa Maji kiasi gani ila Lita 5 imeonekana wengi hawamalizi kwa siku. Akifanikiwa sana Lita 4. Ila kama anachukua likizo ataweza lakini sio akiwa kwenye pilikapilika za kutafuta hela daily. Kunywa mma wito kaka
 
Roweka mdalasini kwenye maji na uyatumie kama maji yako kunywa, kutwa mara nne mpaka tano na ukiweza zaidi, hakuna neno.

Achana na sabuni unazotumia kuogea kwa sasa. Tafuta mbadala.
 
Pamoja na dawa mnazoshauriana, ni muhimu kwanywa maji mengi kadiri uwezavyo (kila siku) kwani husaidia kuflash bakteria waojipenyeza kweny njia ya mkojo.
Nimeamua kupitia Kwanza maoni ya wachangiaji nilivyopata maoni yako sina haja ya kuchangia tena, maji ni Tiba tosha ya U.T.I kunywa maji zaidi ya glass tatu unapotoka kitandan asubuh vivo na mchana.
 
Hapo dawa ni ndogo tu,najua ukitumia dawa unapona ila ukikaa siku mbili,tatu inarudi cha kufanya nenda hispital wewe na mpenzi wote mpime u.t.i na muanze kutumia dozi pamoja mwanamke wakati mwingine anaweza kuchelewa kupata dalili za u.t.i ndo mana unamuona yuko poa tu. Kingine usafi vitu kama fangas kwa mimi naamini hazina dawa na kama ukiamua kutumia dawa kwa ajili ya fangas inabidi iwe sehem ya maisha yako kama kula chakula kila siku lazima utumie iyo dawa ila kuthibiti fangas ni kitu kidogo tu! Usafi wa nguo za ndani,usivae zikiwa mbichi, kata minywele ya chini ni uchafu,ukitoka kuoga jikaushe na taulo na ikibidi kaambele ya feni ukauke kabisa, jipake mafuta unayojipaka mwilini hapo fangas utasikia kwa jirani lakini kwa upande wa wanawake pia fangas inaweza kuwa imefika ndani kuna midonge flani mikubwa inabonyea bonyea kama mpira hivi sijui inavyoitwa nilienda famas na dm wangu wakatuelekeza kutumia iyo ni elfu 10 vinakuwa viwili basi pashkuna akishaoga anatumbukiza maeneo ikibidi anavaa ped coz huwa unatoka uchafu, baada ya hapo amani xana ila kama bado itakuwa unafanya ligi na kule umetoka, kwaiyo inabidi ukaangalie kama ni hasi au chanya ili ujue nini cha kufanya
 
Toeni Ushauri unaoeleweka kwani hili ni tatizo linawakwaza wengi na mimi nalifahamu vizuri. Wapo walishawahi kunilalamikia. Hili tatizo lipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…