malogi1976
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 297
- 168
Haaaaaa wewe bwana...sikuzani wana nini uwiiiKweli miti shamba iko mingi sana haina chenga kwenye kutibu U.T.I hata iwe kongwe au ya kurithi. Brother na wewe achana na kina sikuzani tafuta kina angel, lucky, Nancy etc
Nenda Hospitali mkuu kwa vipimo. Ili ifahamike unatimu nini. epuka kujitibu.aisee mimi nikikojoa mb*oo inawasha kinoma kwenye mrija wa mkojo. ni UTI pia? au ni Gono??? nipeni tiba mazee
Mimi mwenyewe kila siku nakunywa namshaur kitu ambacho mimi mwenyewe nafanyaUna mshauri Mgonjwa wa UTI anywe Lita 3 na nusu duhhhh? atakuwa na tumbo la aina gani hilo kuweza kunywa Maji kwa siku Lita 3 na na nusu? Kazi kweli ipo hapo.😀😀😀
🙂😉🙁😡😕😎😛😀😱😳😳😵Mimi mwenyewe kila siku nakunywa namshaur kitu ambacho mimi mwenyewe nafanya
Maji ni Lita 3 kwa siku chini ya 75kgs inategemea na uzito wakoKatika hali ya kawaida hata uwe mnywaji wa Maji kiasi gani ila Lita 5 imeonekana wengi hawamalizi kwa siku. Akifanikiwa sana Lita 4. Ila kama anachukua likizo ataweza lakini sio akiwa kwenye pilikapilika za kutafuta hela daily. Kunywa mma wito kaka
Hanywi yote kwa muda mmoja kuna interval na sio mwenye U.T.I yoyote yule maji ni muhimu sanaUna mshauri Mgonjwa wa UTI anywe Lita 3 na nusu duhhhh? atakuwa na tumbo la aina gani hilo kuweza kunywa Maji kwa siku Lita 3 na na nusu? Kazi kweli ipo hapo.😀😀😀
Nenda maduka ya waswahili ununue "uwatu" uchemshe unywe...maelezo pita grup la magonjwa na tiba asili facebook linaongozwa na mtu anayeita jumaJamani ebu nipeni ushauri kweli naweza kupona U.T.I na je ni njia gani nifuate nimechoka mwenzenu kupoteza hela zangu kila siku hosptali!
weka jina la hiyo dawa mkuu tufaidike wengiuko wap maeneo gani ili tujuane kwanza ...
Majo ni kila kitu, anywe maji hata lita 6 inawezekana na ni kuamua tuu maana ni chupa kubwa 4 za klm,....maji pia yanatibu UTI kabisa na inaishaKatika hali ya kawaida hata uwe mnywaji wa Maji kiasi gani ila Lita 5 imeonekana wengi hawamalizi kwa siku. Akifanikiwa sana Lita 4. Ila kama anachukua likizo ataweza lakini sio akiwa kwenye pilikapilika za kutafuta hela daily. Kunywa mma wito kaka
weka hapa hiyo dawa mkuuDawa niijuayo ni kwa wadada tu. Maana ni ya kutumbukiza...ila pole mkuu
90 onwards wanatakiwa kunywa ngapi?Maji ni Lita 3 kwa siku chini ya 75kgs inategemea na uzito wako
Nenda kacheck tezi dume unaweza nayo inachangiaJamani ebu nipeni ushauri kweli naweza kupona U.T.I na je ni njia gani nifuate nimechoka mwenzenu kupoteza hela zangu kila siku hosptali!
Tumia Dose zote mbili kwa siku Saba tu humaliza uti sugu ulete mrejesho Kama utatumiaKama walivosema mtibiwe na mwenzi wako na kipindi cha matibabu mtumie condoms mpaka mkienda kurecheck iwe imeisha.
Kuna Baking Soda nusu kijiko unaweka kwenye 1 glass of warm water asubuhi with empty stomach kwa siku 7 mpaka siku 14 .
Nyingine mdalisini 1 teaspoon kwenye maji yaliyochemka then yakiwa uvugu vugu unaweka 2 tablespoons of honey with empty stomach
Hakikisha unakunywa maji mengi na unacheck mpaka iwe imeisha