My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
Mimi binafsi naomba kutangaza kuchoshwa na hivi vipasa sauti vya misikiti na makanisa..
Kinachonishangaza na waslamu sijui mmeanza kuwa km walokole miskiti ipo kila baada ya nyumba sita jion ikifika ni makelele tu plus na haya makanisa ya vichochoroni yaan watu hawawez kupata utulivu kabsa...
Unakuta kuna mtu ana kanisa kashiba ugali maharage uko anazama kanisani kwake anatoa kipaza sauti nje anaanza kupiga kelele na yuko mwenyewe yaan hii nimeiona madale kila muda ni baba baba babaaa mpk kashaanza kuishiwa vyakumuomba mungu wake...
Nawaza hii Site yangu nayomalizia kujenga nasijahamia ila napata kero yote hii
Sasa Nasemajeeeee
Naanza kukata nyaya,km uko humu unajijua ni mchungaji njaa unakaa kanisan peke yako afu unaweka kipaza sauti nje nakuja kukata...
USHAURI;; Hiv waislam na walokole mnashindwa kuwa km wakatoliki kelele utazikia kwa dk 5 kuwafahamisha waumini kuwa muda wa ibada nyngne umefik baada ya hapo ibada inaendelea ndan ya kanisa bila kusumbua majiran na wapita njia...
MWISHO