Yaani imebidi nicheke maana ni kweli ndicho kilikuwa kinafanyika kumwa maji kwingi na story nyingi badala ya kujibu maswali....Kikwete bye byeTicha aliwaambia kama hamtaki mtiani wangu basi kila mtu ajitungie swali alaf alijibu. Cha ajabu wa kwanza alipata 40% na nusu ya darasa waliandka majina yao na kukusanya karatasi,yani ata swali kulitengeneza ikawa ishu. Ndo mambo ya jamaa wa mdahalo wa leo usiku. Umepewa maswali ukadesa alaf unapata kigugumizi kujibu,unaishia kunywa maji a.k.a dripu. Aya bwana!