Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Kale ka elimu ka kubashiri nikumbushie mkuuHapana mojawapo atashinda goli moja tu.
Kwa matokea kabla ya saa nane mchana ya kesho.
Baada ya saa nane mchana matokeo yanaweza pinduliwa na kuongeza goli.
Sijui Kama utanielewa lakini hayo ni Mambo ya SATALAKHABARI
Mganga wako kakutapeliTayari nimechungulia, gemu inaisha 0-0. Wawekezaji, kazi kwenu! Matokeo ni baada ya dakika 90 na za nyongeza.
Sisi Simba hatutakubali Yanga watufunge tena!
Tayari nimechungulia, gemu inaisha 0-0. Wawekezaji, kazi kwenu! Matokeo ni baada ya dakika 90 na za nyongeza.
Sisi Simba hatutakubali Yanga watufunge tena!
Acha ramli bro, utakuwa tapeli. πMechi imechezwa na imemalizika tayari ampabo Yanga amefunga magoli matatu
Hayafiki matatu..Mechi imechezwa na imemalizika tayari ampabo Yanga amefunga magoli matatu
Na tulisema Jana.Hapana mojawapo atashinda goli moja tu.
Kwa matokea kabla ya saa nane mchana ya kesho.
Baada ya saa nane mchana matokeo yanaweza pinduliwa na kuongeza goli.
Sijui Kama utanielewa lakini hayo ni Mambo ya SATALAKHABARI