mojoki JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 1,313 Reaction score 290 Sep 9, 2011 #61 Gagurito said: pole sana! nadhani sasa kuna kila sababu ya wewe kuwa makini, ucpende kuwaamin watu kirahisi, sisi wanaume ni wajanja sana, twajua vyema kucheza na mdomo! Mwombe Mungu akusaidie kusahau na kufungua ukurasa mwingine wa maisha yako. Pole sana! Click to expand... <br /> <br /> huo sio ujanja ni uboya na kama na we upo hivyo we ni boo?....'sema boya'
Gagurito said: pole sana! nadhani sasa kuna kila sababu ya wewe kuwa makini, ucpende kuwaamin watu kirahisi, sisi wanaume ni wajanja sana, twajua vyema kucheza na mdomo! Mwombe Mungu akusaidie kusahau na kufungua ukurasa mwingine wa maisha yako. Pole sana! Click to expand... <br /> <br /> huo sio ujanja ni uboya na kama na we upo hivyo we ni boo?....'sema boya'
TECHMAN JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 2,651 Reaction score 1,127 Sep 9, 2011 #62 pole, i think u need Jesus, mpokee yesu katika maisha yako, and then from him u will get good destination of your life, Jesus Loves you,
pole, i think u need Jesus, mpokee yesu katika maisha yako, and then from him u will get good destination of your life, Jesus Loves you,
fabinyo JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 3,042 Reaction score 2,221 Sep 12, 2011 #63 kwa sababu umeomba usitukanwe,basi nakuacha ila tafuta pesa na sio wanaume
Sniper JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 1,957 Reaction score 827 Sep 12, 2011 #64 hao wanaume wako unawapatiaga wapi? kuna mazingira ambayo ukimpata mwanamke/mwanamme huko, chance ya mahusiano kudumu inakuwa ya mashaka mashaka
hao wanaume wako unawapatiaga wapi? kuna mazingira ambayo ukimpata mwanamke/mwanamme huko, chance ya mahusiano kudumu inakuwa ya mashaka mashaka