Freedom of speech.
Asante
Barikiwa bossOya anza na pesa hio hio, asee, tafuta duka la ujenzi wenye uaminifu, na kampuni ya wauza tofali karibu na eneo lako, basi unawekeza hapo,
Zikifika tofali buku na cement za kumaliza hizo tofali, unachukua fundi wako anazijenga hivo hivo, Bati mbao, misumari yani ukipata hela unawekeza kwenye kile kinachofuatia kwa ujenzi
Mdogo mdogo
Amini baada ya miaka 3 kama sio 2 unahamia mjengoni kwako.
Ukiwekeza hivi, unajenga na huku ukila bata fresh tuu, hata maumivu huyasikii kwa sanaaa
NakaziaFanya ulichopanga mzee achana na huo ushauri wa kijinga.
Nyie wezangu mnawezaje fikisha million 10 bila kuzilaNiko under 30 nimechoka kupanga, nina kipato cha kati ila hakipo constant kulingana na ninachokifanya.
Nimedhamiria kujenga contemporary ya room 2 jiko na sebule bila dinning.
Kianzio milioni 10 ikitimia tu naanza
Nyuma hiyo hapo
Wataalamu nipeni mchanganuo.
Asante
View attachment 2203936
View attachment 2203941
View attachment 2203942
Ili ijae 10 kwanza ndiyo maana nikaomba wataalamu wanipe mawazo
Wenye hiyo ramani wameniambia ramani na kotesheni sh laki 3 kweli siwez kuwapa
Bro appreciateRamani kama hyo ndogo na simple sitoi hata sumni kwanza kuiona tu nishajua najengaje…..namtafuta fundi ujenzi mzoefu tunayajenga…..kulingana na kiwanja changu
Mi mpaka nilipie ramani ya nyumba hyo project ni kubwa chances ni ghorofa.
Hyo laki 3 weka akiba ya kuwalipa vijana kuchimba msingi
Ngoja nikufundishe Kijana
Kwa kuanza
Weka hela ya Tofali - 1,000 au 1500 (1.5 M bargain akupunguzie hata tsh 20 kwa tofali si haba)
Gharama za Msingi
(Tafuta Vijana Watatu wa kwenda nao kwenye ujenzi wako mtaani choka mbaya hela hamna Vibarua walipe kwa day 15,000 hadi 20,000 depends wawe chini ya usimamizi wa fundi akiwaelekeze msingi waandae vipi na mengine as they go)
Fundi kuset vipimo nyumba ndogo kama hyo unamtia posho tu….haizidi 20,000 (Achana kabisa na kuleta utitiri wa mafundi site, fundi weka mmoja tu nenda nae mdogo mdogo cz nyumba hyo ndogo sana hata ingekua ya vyumba vingi mimi fundi naweka mmoja tu naenda nae sawa wakatae wapambe kwenye ujenzi wako.
Kazi ya kuchimba msingi huo in two days na uhakika umeisha.
Weka gharama za kokoto nyeusi atleast fuso 1 ijae sio chini ya cubic meter 6 maana kokoto zina mambo mengi kwa msingi tumia nyeusi baadae kwenye floor ndani na nnje unaeza tumia za ubuyu / nyekundu cz hazina mambo mengi alaf ni cheaper alaf zinakua nyingi chimbo lipo karibu wazo tu hapo ibuka kule jenga connection nunua from the source bei chee tu.
Nguzo, lenta na mikanda tumia Kokoto nyeusi
Weka Lorry 2 kubwa za mchanga hapo site
Na nondo ton 1 za 12 mm za kuanzia (mikanda, nguzo na lenta tumia nondo hapa usiweke kabisa ubahili kama unataka kitu quality na cha kudumu kwa nyumba ya chini nondo 12 mm ndio zinatumika sana almost kila sehem)
Cement mifuko 100 au 50 ya kuanzia
Fundi Mkomalie umlipe kwa day job i.e. 20,000 - 25,000 msomeshe muambie ujenzi wote anafanya yeye wasaidizi wake hao vibarua unawalipa wewe kwa day so asiwe na pressure na kwamba huna haraka na hutaki kuleta mafundi wengine (mafundi wengi ndio sumu kubwa kwenye ujenzi maana watakua wanashindana na kukomoana mwishowe waharibu ujenzi wako labda fani zao ziwe tofauti)
Mbao za mikanda na nguzo utakodi ni tsh 2000 per piece (for 3 days)
Nunua tank la maji la litre 1000 au 2000 kwa ajili ya maji ya ujenzi.
Kwa machache fanya haya nayokuambia uone kama huto otesha huo mjengo….simamia site kwa ukaribu na usimbane sana fundi kwenye hela kiasi akawa hayuko comfortable hawezi kataa offer yako cz vibarua unawalipa wewe.
Chaap tu msingi unaota huo….mimi kwenye ujenzi mpaka mtu anidanganye saa hivi amejipanga haswa….hata ukitaka ramani za maghorofa mimi professionals ninao nawajua walimu wa chuo kikuu ardhi hapo wapo fair sana nakulink nao hawana kabisa mabei ya tamaa yet ni experienced professionals incase kama project ni kubwa (ghorofa au some big complicated house hyo yako haina mambo mengi)
Wewe anza ujenzi uta enjoy sana as u go trust me na utajifunza mengi sana usiwe mvivu tu kufatilia vitu na issues za site yako.
All The Best.
Umemshauri vizuri. Sema hapo kwa fundi awe makini apate fundi mzuri anaejua kazi.Ramani kama hyo ndogo na simple sitoi hata sumni kwanza kuiona tu nishajua najengaje…..namtafuta fundi ujenzi mzoefu tunayajenga…..kulingana na kiwanja changu

Umemshauri vizuri. Sema hapo kwa fundi awe makini apate fundi mzuri anaejua kazi.
Nimependa sana hii. Barikiwa mkuuRamani kama hyo ndogo na simple sitoi hata sumni kwanza kuiona tu nishajua najengaje…..namtafuta fundi ujenzi mzoefu tunayajenga…..kulingana na kiwanja changu

Mkuu Jenga, huo umri ndio umri sahihi kujenga.mkuu naona bado uko under 30 nakushauri piga chini wazo la kujenga pesa uliyonayo wekeza kwenye crypto hasa kwenye hii hype mpya ya move to earn cryptos kama GMT,GENE nk utakuja kunishukuru ndani ya miezi 6 tu
Tahadhali:haya madude sio ya kukurupukia sana hasa kama huna uelewa nayo yasije yakakukuta kama yale ya wale wadanganyika walioahidiwa kudownload pesa na mjaluo ONTARIO
Uko sahihi huo ndio mfumo nilioutumia kujenga nyumba ya Kwanza.Oya anza na pesa hio hio, asee, tafuta duka la ujenzi wenye uaminifu, na kampuni ya wauza tofali karibu na eneo lako, basi unawekeza hapo,
Zikifika tofali buku na cement za kumaliza hizo tofali, unachukua fundi wako anazijenga hivo hivo, Bati mbao, misumari yani ukipata hela unawekeza kwenye kile kinachofuatia kwa ujenzi
Mdogo mdogo
Amini baada ya miaka 3 kama sio 2 unahamia mjengoni kwako.
Ukiwekeza hivi, unajenga na huku ukila bata fresh tuu, hata maumivu huyasikii kwa sanaaa
Hiyo ya kulipa day kwa fundi ni kama daily uko site kusimamia Kazi mwenyewe vinginevyo hakuna kipimo maalumu cha kwamba leo utajenga hadi hapa.Ramani kama hyo ndogo na simple sitoi hata sumni kwanza kuiona tu nishajua najengaje…..namtafuta fundi ujenzi mzoefu tunayajenga…..kulingana na kiwanja changu
Mi mpaka nilipie ramani ya nyumba hyo project ni kubwa chances ni ghorofa.
Hyo laki 3 weka akiba ya kuwalipa vijana kuchimba msingi
Ngoja nikufundishe Kijana
Kwa kuanza
Weka hela ya Tofali - 1,000 au 1500 (1.5 M bargain akupunguzie hata tsh 20 kwa tofali si haba)
Gharama za Msingi
(Tafuta Vijana Watatu wa kwenda nao kwenye ujenzi wako mtaani choka mbaya hela hamna Vibarua walipe kwa day 15,000 hadi 20,000 depends wawe chini ya usimamizi wa fundi akiwaelekeze msingi waandae vipi na mengine as they go)
Fundi kuset vipimo nyumba ndogo kama hyo unamtia posho tu….haizidi 20,000 (Achana kabisa na kuleta utitiri wa mafundi site, fundi weka mmoja tu nenda nae mdogo mdogo cz nyumba hyo ndogo sana hata ingekua ya vyumba vingi mimi fundi naweka mmoja tu naenda nae sawa wakatae wapambe kwenye ujenzi wako.
Kazi ya kuchimba msingi huo in two days na uhakika umeisha.
Weka gharama za kokoto nyeusi atleast fuso 1 ijae sio chini ya cubic meter 6 maana kokoto zina mambo mengi kwa msingi tumia nyeusi baadae kwenye floor ndani na nnje unaeza tumia za ubuyu / nyekundu cz hazina mambo mengi alaf ni cheaper alaf zinakua nyingi chimbo lipo karibu wazo tu hapo ibuka kule jenga connection nunua from the source bei chee tu.
Nguzo, lenta na mikanda tumia Kokoto nyeusi
Weka Lorry 2 kubwa za mchanga hapo site
Na nondo ton 1 za 12 mm za kuanzia (mikanda, nguzo na lenta tumia nondo hapa usiweke kabisa ubahili kama unataka kitu quality na cha kudumu kwa nyumba ya chini nondo 12 mm ndio zinatumika sana almost kila sehem)
Cement mifuko 100 au 50 ya kuanzia
Fundi Mkomalie umlipe kwa day job i.e. 20,000 - 25,000 msomeshe muambie ujenzi wote anafanya yeye wasaidizi wake hao vibarua unawalipa wewe kwa day so asiwe na pressure na kwamba huna haraka na hutaki kuleta mafundi wengine (mafundi wengi ndio sumu kubwa kwenye ujenzi maana watakua wanashindana na kukomoana mwishowe waharibu ujenzi wako labda fani zao ziwe tofauti)
Mbao za mikanda na nguzo utakodi ni tsh 2000 per piece (for 3 days)
Nunua tank la maji la litre 1000 au 2000 kwa ajili ya maji ya ujenzi.
Kwa machache fanya haya nayokuambia uone kama huto otesha huo mjengo….simamia site kwa ukaribu na usimbane sana fundi kwenye hela kiasi akawa hayuko comfortable hawezi kataa offer yako cz vibarua unawalipa wewe.
Chaap tu msingi unaota huo….mimi kwenye ujenzi mpaka mtu anidanganye saa hivi amejipanga haswa….hata ukitaka ramani za maghorofa mimi professionals ninao nawajua walimu wa chuo kikuu ardhi hapo wapo fair sana nakulink nao hawana kabisa mabei ya tamaa yet ni experienced professionals incase kama project ni kubwa (ghorofa au some big complicated house hyo yako haina mambo mengi)
Wewe anza ujenzi uta enjoy sana as u go trust me na utajifunza mengi sana usiwe mvivu tu kufatilia vitu na issues za site yako.
All The Best.
Punguza kuchakata mbunye, basi.Nyie wezangu mnawezaje fikisha million 10 bila kuzila