wakuu mie ni mwanachuo cuhas bugando! kulingana na hali nayoiiona kukosa assignment kadhaa, nina uhakika nmedisco na hivyo ndoto yangu ya kuwa doctor ndo imeiishia hapa! ni shughuli ipi naweza fanya while najiregain kuja kusomea kitu kingine mbeleni? je mgodini naeza ajiriwa kwa cheti cha form six tu!
