wakuu mie ni mwanachuo cuhas bugando! kulingana na hali nayoiiona kukosa assignment kadhaa, nina uhakikanmedisco na hivyo ndo yangu ya kuwa doctor ndo imeiishia hapa! ni shughuli ipi naweza fanya while najiiregain kuja kusomea kitu kingine mbeleni? je mgodini waeza ajiriwa kwa cheti cha form six tu!
Soma BSC ya Nursing ili uendelee kuhudumia wagonjwa>

yani upo bugando umedisco ambapo msuli wake kwa MD ni wa kitoto kama kusoma sociology ya TEKU, sasa je ungesoma Muhimbili si ndio ungedisco getini kabisa kabla hata hujaingia ndani?
Kwa ushauri nenda labda IMTU wanapotupa mafuvu ya binadamu kwani pale hakunaga kudisco mkuu.

wakuu mie ni mwanachuo cuhas bugando! kulingana na hali nayoiiona kukosa assignment kadhaa, nina uhakika nmedisco na hivyo ndoto yangu ya kuwa doctor ndo imeiishia hapa! ni shughuli ipi naweza fanya while najiregain kuja kusomea kitu kingine mbeleni? je mgodini naeza ajiriwa kwa cheti cha form six tu!

Mleta mada ni mamluki hana lolote,ni mwongo,mnafki na mzandiki