nimedisco MD! naombeni ushauri?

wewe hufai kusoma kozi ambazo ni technical manake ni mzembe, na wala hujitumi kwa lolote...
my take badili fani uwe tapeli wa mjini
 

tusilamlaumu sana kijana manake ame depict hali halisi ya vijana wachahce wasopenda kujituma na hivyo kuwafanya vijana wote kuonekana kwamba ni irresponsible.
huyu akasome AMAZON COLLEGE kozi ya office cleaning
 
Wapo huku mtaani wengi hawana kazi nyingine zaidi ya kufundisha sekpndari za kata mshahara 200,000. Jipange urudi tena chuo kama utaweza soma pharmacy inalipa kweli, ukona huwezi basi hata uhasibu ukikushinda basi maendeleo ya jamii au ustawi wa jamii
 

Next time achana na siasa kabisa kijana wangu ,, wengi hamfanyi vizuri kwa sababu mmekalia siasa,, wote mmegeuka waccm wengine wacdm,, mnashinda JF kujibizana hamsomi,, mnasahau kuwa tunalipa ada na tumehangaika kuwafikisha hapo mlipo... achana na siasa upate muda wa kujisomea Insha Allah utafanikiwa,,,, kwa sasa tafuta shule achana na mambo ya kutafuta kazi
 
Pole sana mkuu kwa majanga yanayoelekea kukukumba BT piga diploma ya afya,au diploma ya sayansi zinalipa
 

Nani kakwambia MD's huwa wanafundishwa kitoto?.Embu ondoa mawazo mdando ayo uliyokaririshwa...
 
bora umedisco assignment tu unaona uvivu kufanya hao wagonjwa sijui ungeweza kuwahudumia kweli
haikuwa professional yako
 
~"wako wapi walionicheka shuleni nilipofeli pirika zangu mtaani zimenifikisha mbali 93 niko border naitafuta south africa leo hii najichanganya tu america ndivyo maisha yanavyochange leo ndani ya terrano kesho vx au range"-@sugu

»Hayo ni maneno aliyoyasema sugu mwaka 2004 alikaza mpaka katoka usikate tamaa kukosa elimu sio ndio umefeli maisha leo chief kiumbe amesema kabisa hakusoma kabisa ila kama mungu angemjalia elimu basi angekuwa masikini si unaona wasomi wanavyosaga lami vumbi mpaka kwenye meno? Komaa usibague kazi jichanganye utawini
~~~~~~~~~~~~~~~~~
Mjengo wa sugu na vx yake
~~~~~~~~~~~~~~~~~

View attachment 115445
 
Kama bado unapenda shule tafuta nje ya nchi, siku hizi kuna nafasi nyingi sana katika vyuo vingi hasa Canada, UK, USA, Sweden,nk. We sahizi mjanja, ila angalia sana ni nini kimesababisha hayo. Mfano siasa zimeua vijana wengi vyuo vikuu sasa. Jikane kwanza angalia malengo badala ya vishawishi.

Kama nyumbani unauhakika unaweza fanya kazi yoyote na ukatoka kuliko shule. Msingi Umeshapata wa kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…