Nimeeleza hapa kuhusu kubadili video yoyote kuwa audio

Nimeeleza hapa kuhusu kubadili video yoyote kuwa audio

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,249
Reaction score
1,813
kuna jamaa kaniuliza kuhusu software inayoweza kubadili video kuwa audio, huyu jamaa anajiita EINSTEIN112 kwa hiyo nimeona nifungue huu uzi hapa. Kwa kuwa kule kulikuwa na uzi unaohusu mambo mengine. Karibu we jamaa.

Ndugu,

Nafikiri kuna software kibao ziko sokoni kwa ajili ya kazi hiyo. Lakini tusisumbuke sana, embu tubadili video kuwa audio kwa kutumia VLC MEDIA PLAYER kama ifuatavyo.
  • Fungua vlc media player, katika menu gonga "media" juu kushoto, kisha kutatokea pop menu nyingine shuka chini kabisa gonga "convert/save".
  • -
    1.PNG

  • Baada ya hapo itatokea pop up window kama hii, na utagonga sehemu iliyoandikwa add.
  • 3.PNG

  • Kisha chagua video utakayo taka kubadili.
-
  • 4.PNG
Gonga covert/save tena.
Itatokea pop up window nyingine chagua audio format yaani mp3, kisha kwenye destination file weka jina litakalotumika na sehemu utakayo save na mwisho gonga start, ni sekunde tu audio file litaseviwa tayari kwa kusikiliza.
cheki snap hapa
  • Inked5_LI.jpg
    -

Nafikiri nimemaliza maswali ya ziada kama yapo sawa.
 
Asante mkuu ngoja nijaribu, ntaleta mrejesho hapa maana nina ngoma nataka kuzibadili ziwe audio
 
Asante mkuu ngoja nijaribu, ntaleta mrejesho hapa maana nina ngoma nataka kuzibadili ziwe audio
Download format factory

Hiyo njia ya kutumia videolan(vlc) Ni ndefu mkuu
 

Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    21.8 KB · Views: 3
Kubadili audio kua video je?
Ni rahisi sana mkuu😊 tumia movavi, openshot, wondersharefirmora, premiere n.k kiufupi video editing software zinafanya kazi hiyo.
 
VLC inafanya mengi sana aisee pongezi kwa hawa jamaa wa VideoLan kweli wanafanya kazi.
 
Back
Top Bottom