Duuuu...hatariii..vimikopo hivyo vina riba kubwa, havilipiki. Lakini ndo vinaharibu status looHabari wadau.
Jana nilienda kifany process za mkopo NMB, lakina loan officer akituma taarifa zangu naambiwa loan rejected Sina sifa kwa vile nilikopa Timiza Airtel nikachelwa kulipa hivyo kampuni imenishtaki.
Hapo huu mkopo wa Timiza nilichukua ila nikalipa kwa riba maana nilizidisha miezi nane bila kulipa.
Naomba ushauri nifanyaje ili jina langu liondolewe katika high risk customer ili nipate mkopo wa bank.
Duh!! Haisaidii kitu, lipa mkopo wako wa Branch.Duh kumbe kweliii??
Usije ukawa umeweka kwenye list ya defaulters wa mikopo.Habari wadau.
Jana nilienda kifanya process za mkopo NMB, lakini loan officer akituma taarifa zangu naambiwa loan rejected sina sifa kwa vile nilikopa Timiza Airtel nikachelwa kulipa hivyo kampuni imenishtaki.
Hapo huu mkopo wa Timiza nilichukua ila nikalipa kwa riba maana nilizidisha miezi nane bila kulipa.
Naomba ushauri nifanyaje ili jina langu liondolewe katika high risk customer ili nipate mkopo wa bank.
Hakuna kulipa wanatutisha kindeziWewe ni dalali wa Pesa X acha kitupanga,
Na tunawaambia hatulipi ng'o
Wewe nae umesoma kwelii huu uzii??Jitahidi kuzuia hasira zako dada unapoomba ushauri. Pokea kila ushauri unaopewa ukiona unafaa. Maelezo yako yenyewe hayakuwa wazi kama umemaliza mkopo au bado lazima mtu akuahauri kalipe mkopo. Sasa hasira za nini.
Kwa hiyo unataka kupiga na huko NMB halafu usepee?Habari wadau.
Jana nilienda kifanya process za mkopo NMB, lakini loan officer akituma taarifa zangu naambiwa loan rejected sina sifa kwa vile nilikopa Timiza Airtel nikachelwa kulipa hivyo kampuni imenishtaki.
Hapo huu mkopo wa Timiza nilichukua ila nikalipa kwa riba maana nilizidisha miezi nane bila kulipa.
Naomba ushauri nifanyaje ili jina langu liondolewe katika high risk customer ili nipate mkopo wa bank.
Maisha bila mikopo hayaendi, labda kama unataka kuwa kwenye comfort zone.Achana na mikopo, itakupa stress bure!
Unamaanisha nini 😅Wewe ni dalali wa Pesa X acha kitupanga,
Na tunawaambia hatulipi ng'o