Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 719
- 2,408
Nimeenda kumtembelea sista ambaye ni mtoto wa mama mkubwa ameolewa jijini dar, sasa hapa wanaishi watu wa nne, sista, shemeji, mdogo wake shemeji ni wa kike, mtoto wa sista mdogo wamiaka mitatu na bekitatu short flani ya njombe huko imebinuka balaa
Sista na bwanaake wanafanya kazi kwenye halmashauri flani hapa jiji la joto na life lao si haba. Haka ka junior kao kanasoma shule zile wanazofundishaga watoto kukalili oxford dictionary wanabebwaga kila asubuhi na kurudishwa jioni na mayutong flani ya njano.
Huyu mdogo wake shemeji anashinda kuuza duka la semeji hivyo nae anachomoka asubuhi kama wale wengine. Hivyo mimi nabaki na beki tatu muda mwingi. Nikaimba nae bwana nikaanza kukapelekea moto kale kabinti, kakiwa kanapika jikoni nimoo. Kumbe kanapenda sana ile mikiki ya bila mpangilio
Kuna bembea flani la kubembea mtoto huwa nambeba nampeleka namsukuma anabembea weee huku namtekenya tekenya Mimi sina habari kuna siku humo bandani kwa kuku hadi tukavunja mayai kibao ikabidi binti amdanganye sista kuwa aliteleza bahati mbaya.
Sasa kilichonishtua na kunipa mawenge mpaka natamani dunia ipasuke inimeze ni leo haka ka anko kamenifata mida ya saa moja jioni wakati nacheza cheza nako si kakaropoka! Kanasema.... Anko.. Nimemsikia mama wanaongea na baba eti wamekuona kwenye simu wakiondoka wewe unambeba jujuu dada bite mnaanza kutembea huku mmevua nguo mnaenda jikoni, sebuleni, nje na hadi bandani kwa kuku.
Kumbe kuna kamera kila kona humu ndani. Hapa kimeumana nimechanganyikiwa. Nimekaribishwa chakula tayari toka saa mbili sijaenda dining na njaa yote imekata. Naulizwa na sista we vipi leo huli najibu tu. Nakuja ila nawaza natoka vipi sielewi.
Wazee ukisikia kuumbuka ndiyo huku ny*ge zimeniponza lakini nitamwelekeza sista binti yeye ndo kayataka. Eti kila siku asubuhi ile watu wameondoka tumebaki wawili badala anipikie chai yeye anafungua friji
Anachukua samaki ananipikia michemsho ya sangara na ndizi na malimau alafu anavyoninawisha mikono anachuchumaa mimi naona matiti sasa ninakwepa vipi huo mtego?
Sista atanielewa tu asipoelewa naamsha kwani nini! Alafu kufunga funga makamera kila kona majumbani sio ishu wazee mambo ya kizamani hayo
Pia serikali inabadi iingilie kati kamera zifungwe kwenye mabenki, supermarket, barabarani na kwenye viwanja vya mpira basi. Mpaka sasa hivi sijala na watu bado wako sebuleni wanajifanya wanaangalia telemundo sijui madude gani huko ila najua tu wanazuga nasubiriwa mimi nitoke waniangalie vizuri. Sasa sitoki.
Kama mbwai mbwai. Wananilazimisha nitoke chumbani niende dining nikale kula sio lazima bana.