Nimeenda kumtembelea sista sasa natamani kukimbia

Dah ww mzinifu 😂😂umejua kutuvunja mbavu sasa kufunga camera kizani au ndo kisasa mambo digital
Kumbe wanavyo vile vikamera vidogo sana yani hapa usingizi umegoma kabisa. Nina mwezi toka nianze hizo harakati zangu na bekitatu sasa sijui wana clip ngapi hapo ndo kichwa kinauma sasa
 
Kumbe Bado ka kijana kadogo tu?
Unakaa Kwa sista, hivyo kabisa
 
Gily Gru ndo tabia zako ukienda kwa dada zako!?
 
Uandishi wako na usimuliaji nimeupenda mwenye stress zake lazima acheke kidogo. Kama sister hajalianzisha kwa beki tatu wee jizime data tu 😎
 
Stori yako siiamini kwa sababu hata kuhesabu haujui.Dada yako,shemeji yako,mdogo wa shemeji,mtoto wa dada na dada msaidizi hao ni watu watano.Na wewe ulipofika ukawa mtu wa sita kwenye familia.Anza upya kusimulia.
 
Ukiwa na wenge utakosea tu kuhesabu alafu naona bekitatu hajui kama kimeumana
 
Katiba mpya itatatua huu mgogoro
 
Kukaa tu kwa Shemeji kunaonyesha ulivo na upeo mdogo.
Kapambane na hali yako Chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…