Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Jan 14, 2023 #21 mama D said: Kuna watu watakuambia huko kuna mafanikio Wengi watakupa shuhuda ya vile walivyofanikiwa Lakini wewe hata ukeshe huko hutopata matokeo. Rudi kwa Mungu wako tuu Click to expand... Tatizo hata uyo Mungu unaemwambia amrudie siyo Mungu wake ni Mungu wa Ibrahim
mama D said: Kuna watu watakuambia huko kuna mafanikio Wengi watakupa shuhuda ya vile walivyofanikiwa Lakini wewe hata ukeshe huko hutopata matokeo. Rudi kwa Mungu wako tuu Click to expand... Tatizo hata uyo Mungu unaemwambia amrudie siyo Mungu wake ni Mungu wa Ibrahim
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 19,981 Reaction score 35,581 Jan 14, 2023 #22 Sa 7 mchana said: Tatizo hata uyo Mungu unaemwambia amrudie siyo Mungu wake ni Mungu wa Ibrahim Click to expand... Mungu ni wa mtu. Mtu yule aliyemfuta na kumuamini Mungu wa Ibrahim, Ndio Mungu wa Isaka na Israel yaani Yakobo na Musa na wengine wengi. Na huyohuyo Mungu ni wako, huyohuyo Mungu ni wangu
Sa 7 mchana said: Tatizo hata uyo Mungu unaemwambia amrudie siyo Mungu wake ni Mungu wa Ibrahim Click to expand... Mungu ni wa mtu. Mtu yule aliyemfuta na kumuamini Mungu wa Ibrahim, Ndio Mungu wa Isaka na Israel yaani Yakobo na Musa na wengine wengi. Na huyohuyo Mungu ni wako, huyohuyo Mungu ni wangu
Ester505 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2020 Posts 793 Reaction score 1,049 Mar 4, 2023 #23 Yesu ndo jibu lako.