Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna ndugu yangu alishawahi kuwa daktari akaona kuajiriwa shida na hana mtaji kuanzisha dispensari. akajifanya mganga. mtu akija na kueleza matatizo ya ugonjwa wake alikuwa anamsagia ungaunga kwa kuchanganya na dawa sahihi watu wanaenda wanapona. wanaume anawasagia na viagra anachanganya na unga wanashangaa kitu ipo. alipiga pesa akapata mtaji akaacha.Si tumecheka na tukapika yule kuku ambaye nimekuja nae,🤣😂😂 maisha ni kujuana bana
Aiseekuna ndugu yangu alishawahi kuwa daktari akaona kuajiriwa shida na hana mtaji kuanzisha dispensari. akajifanya mganga. mtu akija na kueleza matatizo ya ugonjwa wake alikuwa anamsagia ungaunga kwa kuchanganya na dawa sahihi watu wanaenda wanapona. wanaume anawasagia na viagra anachanganya na unga wanashangaa kitu ipo. alipiga pesa akapata mtaji akaacha.
wengi mnaenda kwa waganga mnapigwa sana, ndio maana watadanganya hata wanawake, akiona mwanamke mzuri anamwambia nitakuingizia dawa vile najua. anamaliza iyo. akiona mtu anakuja kusema kuloga mwengine, anamcharge pesa kidogo sana na kumpa imani ili adui yake asipopata tatizo jamaa aone mganga alikuwa mdogo ahame mganga na hatarudi kudai hela kwasababu alitoa kidogo tu. wanacheza na akili zenu na wanawafanya mabaya.