Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Naomba kujuzwa wakuu kuna Ofisi nimeenda Ofisi ya Mkuu wa Mkoa muda wa kazi watumishi wa Ofisi husiku wote hawapo, hii imekaaje?
Nimeondoka bila kupata huduma yoyote nimepoteza muda na pesa naomba msaada hawa watu niende nikawatolee wapi malalamiko yangu hawa watumishi wa namna hii?
Wanapigiwa simu wanatafutwa wanasema wapo ofisini na Ofisi zimefungwa zote na hakuna mtu ofisini hata mmoja muda wa kazi Ofisi ya Serikali imefungwa kweli?
Soma Pia: Serikali iunde Taasisi ya Usimamizi na Ukaguzi kwa Watumishi wa Umma. Hii PEPMIS tunawekeana 90% maisha yanakwenda, hakuna mabadiliko ofisi za umma