JAPHARY SAID
Member
- Apr 9, 2016
- 87
- 75
We mwenyewe uko Sikonge chuo cha maendeleo ya jamii utampataje sasa,mwache jamaa asalandie tu.Afadhali leo nimekupata jinga wewe, ntakufatilia mpaka nikukamate. Acha kumfatilia mke wangu shuwaini
Mmhm me nawambia mambo yanayo endelea humu duniani ,mwache YESU AJE
Huyu si katoka kujifungua mtoto mdogo juzi hata mtoto hajaacha kunyonya????
Malaya bhana..Anayetafutwa ni mama si mtoto[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jaman..tuandikie kupitia info@itv.co.tz
Hahah umeua..mkuutuandikie kupitia info@itv.co.tz
Wengine wanajifungua mtoto mkubwa!!Kiswahili kigumu kumbe.."kujifungua mtoto mdogo" ndio nini?..