Kuna bibie humu JF.. nimejikuta tu.. nimempenda.. hii ni kutokana na michango yake.. anavyojiamini anapotoa hoja...ana msimamo... na husimamia anachokisema... naomba ushauri... naogopa kumtaja... nahofia endapo atakuja na Negative Response(mtizamo hasi)....
This has to be Lizzy.
mbona unaguna?mhhhhhhhhhhhhhhhhh
kwani yupo free yaani hajaolewa?
kuwa makini maana humu kuna hata wanaume wanajifanya wanawake, na wanawake wanajifanya wanaume
humu watu wanakuwa katika fantasy world kuwa wasivyoweza kuwa maishani mwao
haya wee kazi kwao

haiwezekani.... she must be She.... na kama atakua mwanaume nitampongeza kwa "PRETENCE"kwani yupo free yaani hajaolewa?