Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....


Mkuu Heshima yako, I wish na wewe ungekuwa mwanasiasan
 
Last edited by a moderator:
Kila lenye heri mkuu Ben kwa maamuzi sahihi uliyoyafanya.

Ninaamini pia kuwa utafanya maamuzi sahihi kwenye kuchagua jimbo la kugombea na maamuzi sahihi ya kukubaliana na taratibu za ndani ya chama endapo yatakwenda tofauti na matarajio yako.

Mwenyenzi Mungu atangulie maamuzi yako japo mi nina wasiwasi kuwa safari hii usipopitishwa na chama huenda ukafanya maamuzi ya kujiunga na ACT maana umepania sana hiyo nafasi.
 
ya kila la kheri. . japo kuna baadhi ya point zako hapo hazina mantiki. . ila Songa mbele.
 
Tanzania ni Taifa pekee ambalo kila msomi anataka kuwa mbunge.Hasa kwa uvivu wa kufikiri na mawazo mgando.
 

Mkuu Heshima mbele, Rombo wanaipenda chadema kuliko Selasini, huu ndio ukweli wa Rombo, jaribu kuwauliza wanao ishi rombo, japo sipindi ulicho sema, mm naongea nilisho shuudia kwa Masho yangu.
 
Ma ACT na Manyumbu ya Lumumba Buuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuiuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
sasa waliokuwa wanabwabwaja kuwa kahamia ACT tuwaeleweje?
 
Go Ben Saanane go,jimbo ni lako.Tunataka vijana kama nyie muikomboe nji hii iliyojichokea kutokana na ombwe la viongozi waliojisahau.
 
Last edited by a moderator:


Hongera sana Ben na Mungu akutangulie bro wewe na wenzako wote .
 
Ben ubunge utausikia redioni tu, sumu zako baki nazo huko huko Ufipa
 
Kila heri Kamanda tunakuombea mafanikio mema .
 

Ni vizuri tukaongozwa na uhalisia kuliko hisia kwasababu Kimsingi Ben hajatangaza atagombea kupitia jimbo gani! Na hata kama ni Rombo kura ndio itaamua na uongozi ni mbio za kupokezana vijiti! Tusichangie hii hoja kishabiki na kiuchonganishi! NARUDIA KUSEMA BEN ANAWEZA KUGOMBEA KUPITIA JIMBO LOLOTE TZ SI LAZIMA ROMBO! NA HAJATAJA JIMBO ATAKALOGOMBEA!
 
Iko wazi na Selasini ameshaliriport Makao makuu kua Saa nane anamuharibia Jimbo.Natamani sana October ifike mapema nione ahadi ya Mkuu ataitekeleza au alitaka kumrubuni Mjamaa Saa Nane.
 
Maelezo mengi lakini hakuna la maana hata moja hapo. Imekushinda BAVICHA, jimbo utaliwezea wapi wewe?

Una gubu kama ndugu wa mume sie tumemwelewa sijui wewe mkaanga sumu unataka tukusaidie nini maji ya kumezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…