Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

Mkuu CV yako kwa upande mkubwa inaonyesha utumishi wako wa Chadema. Mimi nina swali moja tu. Ningependa kujua CV yako outside chadema. Kitu gani amabacho unajivunia umeki accomplish na kina social impact kwa jamii yako iwe ni mtaa unaoishi au kijijini ulipotokea. Maana hiki ndo kitakuwa kipimo halisi cha uzalendo wako. Umeshawahi kujaribu kuwatumika wananchi kwa namna moja au nyingine nje ya siasa? Je una rekodi yeyote ya kazi za kujitolea katika jamii?
 

Wewe swali gani hilo. Ben ni kijana mdogo. Ametumika kwenye Chama na sisi tume appreciate utendaji wake chamani. Sasa anataka kwenda into another level apate nafasi ya kuwatumikia wananchi.

Hilo swali kaulize wabunge wa miaka mingi au wagombea urais. Okay!
 
Kwa hiyo haturuhusiwi kumuuliza maswali? Acha udikteta wewe. KWa hiyo kumuuliza mtu kama amshawahi ku volunteer kwako unaona ni swali la kijinga? Be a critical thinker na usiwe muoga wa kuulizwa maswali. Ni watu wadhaifu tu ndo wanaogopa maswali. Wewe unamfahamu. Mimi mpiga kura simfahamu ningependa kumjua. Hebu nipishe kule.
 

Hongera sana Ben! safari ni ndefu yenye changamoto. Lakini Siku zote nakuambia kuwa hodari na moyo wa ushujaa
 
Safari yako ni safari yangu, Safari yangu ni safari yako, Safari yetu ni safari ya Watanzania.

Twende Bungeni na Ben Saanane!

Sielewi ni kwanini tunadhani mtu kuwa bungeni ndiyo nafasi ya muhimu sana ili kulisaidia Taifa lisonge mbele! Mie hii haijawahi kuacha kunishangaza. Hivi wajenzi mahiri wa nchi ni wanasiasa tu?
 
Wewe utaendelea kuwa Mbunge wa jamiiforum. Mitandao mingine huwezi kutoa hoja zaidi ya mtandao wenu wa JF kwa wananchi ndiyo utaweza kweli?

"Mtandao wenu wa JF" .......sasa wewe kama sio wako makalio yako yanatafuta nini humu. Maneno uliyoyasema na contribution yako umeitolea masabulini au humu humu JF? Usitutafutie BAN za bure.
 

Hongera sana ndugu, nina imani kubwa nawe. Kwa pamoja tutahakikisha lengo lako la kuelekea bungeni linatimia. ''enda uwokie mmeku''
 

Mkuu tumia japo sehem ndogo ya ubongo mola aliokupa, Ben umri wake ni mdogo pia hebu piga hesabu ya muda aliokaa darasani kuanzia degree hadi sasa PHD pia unganisha na,kazi chamani utaona kuwa unachouliza wewe ni sawa kuulizia karafuu kigoma, kwani kutumikia nafasi chamani sio sehemu ya kutumikia wananchi au hadi angesema yeye kawa katibu tarafa ndio ungerizika?
 
Chadema ndiyo chama kinachoongoza kuwa na wendawazimu wengi.

Sasa wewe njaaa kali na mwenzako yericko mdandia nasaba ya nyerere nani awape Ruksa ya kwenda kutia najis bunge la jamhuri ya muungano??

Lakin kwa kuwa chama chenyewe ni cha wehu may be wanaweza kukutizama kwa jicho la kukuzingatia.

Ila inshort huwezi kuingia bungeni we pimbi.

Labda huko huko kwa Bavichaaa wenzako.
 
Ha ha ha dah mnanisikitisha watu ambao mnashindwa ku argue mnaanza personal attacks. Ben mimi simfahamu zaidi ya kumuona humu jamii forums kwa hiyo napouliza hili swali napenda kumfahamu zaidi. Sababu we unamfahamu un assume wote tuna mfahamu? Wewe ndo utumie akili kidogo kujiuliza kwanini mimi nimeuliza hili swali badala ya kuanza na personal attacks. Sifahamu mengi kuhusu Ben. KWa hiyo lengo langu lilikuwa zuri. Ila kama hamtaki tuulize kitu inaamana hamna tofauti na hao mnaotaka kuwatoa madarakani maani nao wana hulka hizi hizi za kujiona hawapaswi kuulizwa. KWeli wengi humu tupo intellectually bankrupt. Sababu kama una reason vizuri huwezi kuchukizwa na swali ambalo nia yake ni nzuri tu. Na si kila anayekuuliza swali umjibu kama ni mpinzani wako kisiasa. Think big mkuu
 


Teh teh teh

So anawaongopea ana phd??

Teh teh teh

Yale yaleee kama yule mwehu yericko eti anasema ni CEO wa kampuni

Teh teh teh

Kumbe ni mchumia tumbo tuh na mpiga ripu.

Teh teh teh

Wachaga wa chadema kweli wamevurugwa.
 

Teh teh teh

Mkuu hawa bavichaaa matusi ni kawaida yao.

Eti anamtetea shoga yake huyo ana phd..!!

Teh teh teh phd ya pili pili huko india??
 

Ha ha ha

Mkuu nimecheka sna.

Eti na yule mwehu mwenzake yericko nae anasema anataka kumuunga mkono woote waende bungeni.

Teh teh teh

Huu Ubunge wao wa humu humu Jamii Forum hauwatoshi??

Nchi hii kweli ina vituko sana.

Hususan hiko chama chao cha kidini kikanda na kikabila ndiyo kimezid kuwa na viroja.
 
Teh teh teh

Mkuu hawa bavichaaa matusi ni kawaida yao.

Eti anamtetea shoga yake huyo ana phd..!!

Teh teh teh phd ya pili pili huko india??
Hapa ndo naanza ku question kama baadhi ya vijana wa BAVICHA wapo okay. Wapo ambao wana akili zao ila naanza kuona kuna kenge wengi ndani ya msafara wa mamba. Eti unauliza swali mtu anachukia kwanini umeuliza swali anakuambia utumie akili. Sasa nani hapo aliyekosa akili mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…