Nimefanya mahojiano mafupi na TBC kuhusu upungufu ulioko katika historia ya TANU

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Nimefanya mahojiano mafupi na TBC kuhusu upungufu ulioko katika historia ya TANU ambako wapigania uhuru wengi historia zao hazifahamiki.

Kipindi hiki kimekusudiwa kurushwa katika Taarifa ya Habari ya leo saa moja usiku.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…