UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,399
- 1,014
Nimefanya mapenzi bila kondomu lakini sijasugua sana k ila nikapiga kimoja nikaacha na baada ya hapo nikanawa.
Je naweza pata UKIMWI na nichukue mda gani kukutana na mke wangu msaada tafadhali sana wadau.
Je nitajuaje kama sijapata magonjwa ya zinaa, na hili laweza mtokea mtu yeyote usinibeze na kunishangaa.