UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,399
- 1,014
Ungeuliza kabla ya tama zako kama ni kuukwaa tayari, subiri miezi mitatu upime na usiendekeze upuuzi eti kamoja hakana michubuko kama boxer+fungus wamekuchubua utajua?nimefanya mapenzi bila kondomu lakini sijasugua sana k ila nikakpiga kimoja nikaacha na baada ya hapo nikanawa je naweza pata ukimwi na nichukue mda gani kukutana na mke wangu msaada tafadhali sana wadau
nimefanya mapenzi bila kondomu lakini sijasugua sana k ila nikakpiga kimoja nikaacha na baada ya hapo nikanawa je naweza pata ukimwi na nichukue mda gani kukutana na mke wangu msaada tafadhali sana wadau
ulimwaga?????
da ee nilimwaga jamani ila niliingiza na kumwaga na sikusugua kabisa
da ee nilimwaga jamani ila niliingiza na kumwaga na sikusugua kabisa