Nimefanya mapenzi bila mpira

mkuu wasikutishe pia punguza presha hujapata ukimwi hata kama ungesugua kwani una uhakika gani kama demu ana ukimwi?sijaona kabisa kinachokusumbua
 
Ukimwi huwez kupata kirahisi hvyo mpaka msuguano mkali
 
Ukiwa na hofu utakonda kabla ujapata hata kipimo chenyewe,ondo hofu mkuu,ila usirudie tena,mrudie Muumba wako
 
Kwanza kwa nini umesaliti ndiyo yako. Na kabla ya kusaliti kwa nini hujampima ukimwi ili usiwe na wasi wasi. Na pili wewe leo tu kuchepuka bila zana unakuwa na mawaza hivi, wakati huyo uliyechepuka nae kazoea bila zana na hana wasi wasi.
 
Subiri wiki 3 kapime HIV kama upo. Fresh hapo waweza mrudia mke wako
 
nimefanya mapenzi bila kondomu lakini sijasugua sana k ila nikakpiga kimoja nikaacha na baada ya hapo nikanawa je naweza pata ukimwi na nichukue mda gani kukutana na mke wangu msaada tafadhali sana wadau

YAANI matangazo yote yanayohusu ukimwi yamekupita bila kuelewa somo! kweli kubadili tabia ni kazi kubwa sana.
 
Hahaaa usiogope siku izi hakuna ukimwi. We gonga tu
 
nimefanya mapenzi bila kondomu lakini sijasugua sana k ila nikakpiga kimoja nikaacha na baada ya hapo nikanawa je naweza pata ukimwi na nichukue mda gani kukutana na mke wangu msaada tafadhali sana wadau

Namuhurumia mkeo maana kama huyo ulokua nae ni mwathilika na wewe ukawa ndo ushaubeba automatically na mkeo lazima utamuambukiza!
Nenda hospitali ili ufanyiwe intervention ya haraka,ikiwezekana uanzishiwe PEP,ila tamaa nazo uache utaangamiza familia yako!
 
hii inaweza mkuta yeyote msinicheke nishahuriini au magonjwa ya zinaa nikae siku ngapi nijue sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…