Habari wakuu,
Maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi yanazidi kukua kwa kasi mkoa wetu huu wa Dar es salaam hasa kwa vijana wenye umri kati ya miaka 15-24.Sasa je, ni kweli kondom zinazuia maambukizi ya virusi vya ukimwi?
Naomba kuwasilisha
Duuuh!
...kwan mkuu huyo demu ushahakikisha ameungua, au ndo woga wako tu???
Ukimwi huwez kupata kirahisi hvyo mpaka msuguano mkali
Namuhurumia mkeo maana kama huyo ulokua nae ni mwathilika na wewe ukawa ndo ushaubeba automatically na mkeo lazima utamuambukiza!
Nenda hospitali ili ufanyiwe intervention ya haraka,ikiwezekana uanzishiwe PEP,ila tamaa nazo uache utaangamiza familia yako!
Mimi pia nimefanya jana naogopa balaaa asee :'(
pep ni nini