mashambani kwao
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 370
- 56
Naomba kuwasilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunua Deep Heat na upate mtu wa kukukanda/kukusugua kwa nguvu kwa kukutumia hiyo kuliko kufanya mwenyewe maana hutajikanda vizuri
Usikimbilie Dawa za Misuli mkuu.
Hizo ni dalili za kawaida kwa Mtu anayeanza Mazoezi au kama uliacha mazoezi kwa mda Mrefu.
Unachotakiwa kufanya ni Kurudia tena mazoezi hayo kesho na uendelee kufanya mazoezi tena na tena misuli itazoea na utakuwa Fit.
Misuli yako ilikuwa imerelax kwa Mda mrefu kwahiyo umeivuta ndo Mana inauma.. Fanya mazoezi tena na tena.. Hata ukiwa unakimbia mapafu huwa yanauma na kuvuta sana lakini ukifanya mazoezi ya kukimbia mara kwa mara yanazoea na yanakuwa yametanuka vya kutosha.