Usikimbilie Dawa za Misuli mkuu.
Hizo ni dalili za kawaida kwa Mtu anayeanza Mazoezi au kama uliacha mazoezi kwa mda Mrefu.
Unachotakiwa kufanya ni Kurudia tena mazoezi hayo kesho na uendelee kufanya mazoezi tena na tena misuli itazoea na utakuwa Fit.
Misuli yako ilikuwa imerelax kwa Mda mrefu kwahiyo umeivuta ndo Mana inauma.. Fanya mazoezi tena na tena.. Hata ukiwa unakimbia mapafu huwa yanauma na kuvuta sana lakini ukifanya mazoezi ya kukimbia mara kwa mara yanazoea na yanakuwa yametanuka vya kutosha.