Nimefanya sex kwenye danger day

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,498
Reaction score
4,162
Wakuu naombeni msaada wa kufanya ili mchepuko usipate mimba nimefanya ile nimemaliza kumbe alikuw kwenye sku ya hatari afu alijisahau hapa geto hakukaliki kuna kilio hatari wakuu naomben msaada wa kufanya mimba isitunge [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
hili neno sexy hapo ulipolitumia sio mahala pake
 
Kwa maelezo haya ni kwamba umeuza mechi... Mmepima lakini?
 
Ninda kainyonye itatoka tu kama haijamaliza siku 2 kwani hata haijajua mazingira ya huko. Haya, leo leo zama chumvini
 
Mkuu...
Naona unashiriki kwenye mauaji mubashara....[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Mkuu hii sio ya mauaji, hii ni kuahirisha uumbaji tu, huwa inafanya kazi ndani ya masaa 72 na hapo uumbaji bado haujawa dhahiri, ni muda ambao mbegu zinagombea mayai, sasa hii dawa inafanya mayai yote yanakuwa mayai viza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…