Nimefanya uhakiki wa vyeti RITA lakini mpaka sasa sijapata majibu

James07392

Member
Joined
Mar 8, 2019
Posts
20
Reaction score
6
JAMANI WANAJAMII FORUM, MSAADA WENU NAOMBA NDUGU ZANGU,

NIMEFANYA UHAKIKI WA CHETI CHA KUZALIWA RITA LEO NI SIKU YA KUMI NA TATU SIJAPATA MAJIBU NA KWENYE SYSTEM YAO HAIONESHI IPTION YA KUVIEW STUTUS WALA NIKIFUNGUA INBOX HAIONESH CHOCHOTE... TATIZO NI NINI JAMANI
 
Mwenyewe nasuburia mtu mwenye feedback juu ya hili jambo
JAMANI WANAJAMII FORUM, MSAADA WENU NAOMBA NDUGU ZANGU.
NIMEFANYA UHAKIKI WA CHETI CHA KUZALIWA RITA LEO NI SIKU YA KUMI NA TATU SIJAPATA MAJIBU NA KWENYE SYSTEM YAO HAIONESHI IPTION YA KUVIEW STUTUS WALA NIKIFUNGUA INBOX HAIONESH CHOCHOTE... TATIZO NI NINI JAMANI
 
JAMANI WANAJAMII FORUM, MSAADA WENU NAOMBA NDUGU ZANGU.
NIMEFANYA UHAKIKI WA CHETI CHA KUZALIWA RITA LEO NI SIKU YA KUMI NA TATU SIJAPATA MAJIBU NA KWENYE SYSTEM YAO HAIONESHI IPTION YA KUVIEW STUTUS WALA NIKIFUNGUA INBOX HAIONESH CHOCHOTE... TATIZO NI NINI JAMANI

Watakuletea nadhan wamezidiwa. Nilimfanyia kijana wangu wameleta majib baada ya siku15
 
Kuwa mvumilivu,wanachelewa lakina wanahakiki na kutuma.Mimi nimefanya uhakiki wa Vyeti vitatu cha kuzaliwa kimoja na vya vifo viwili.Mpaka sasa wamehakiki viwili na kuvituma bado kimoja.Imechukua almost wiki tatu...!
 
Mimi siku 17 juz nimepewa majibu lakin kinaonesha mhur umepigwa tare 27 duuh sijui tatizo Ni Nini asee
 
Back
Top Bottom