Ulitakiwa kuwasiliana na mtu wapige picha wakati wanapokea hiyo pesa. Ulichukua namba zipi ? Za kwenye sare au silaha. Hata hivyo, kuchukua namba tu haina maana hao jamaa wanaweza kukana kuwa hawakuchukua huo mlungula. Lakini kama una uhakika kuwa hukuwa na kosa kwa nini ukakubali wapewe hiyo 50,0000/= ?
elfu hamsini ndogo sana..jamaangu walimtoa 300,000 alikuwa ana**mbania kwenye gari!
NB:hapo kwenye star weka "to"
Nyie ni uoga wenu tuu..ungekomaa wawapeleke ndani kisha wangeandika maelezo ya kosa lenu na nyie mgetoa statement yenu ..ijue sheria na haki yako pia....hapo sahivi unakosa la kutoa rushwa na askari ulemnakili namba anakosa la kupokea rushwa..nyote mnatakiwa kufungwa kwa mujibu wa sheria za takukuru
Wadau wa jf,nilikamatwa na askari wa kituo cha osterbay nikiwa coco beach jumatatu ya tar 23 nikiwa na mpenzi wangu,wakatupeleka kituo cha oysterbay nakatubambika kesi ya kufanya mapenz ufukweni,kitu ambacho si cha kweli na kutulazimisha tutoe elfu 50,mpenz wangu kwa kuogopa alitoa kiasi hicho ambacho hakikua chake na tukaachiwa,nilifanikiwa kuchukua namba zao na ninataka niwaanike hadharani nitatumia njia gani angalau niweke hadharani ili askari wengine wenye tabia kama hiyo waache na mimi niridhike