Nimefika Dar es Salaam 2002 lakini hadi leo sijawai sex ardhi ya Dsm

Huo Ufisadi umetokea wapi na saa ngapi na mda gani na je wahusika wote wamedakwa na kama wamedakwa wamehukumiwa jela kwa mda gani na faini watalipa ndani ya mda gani,
Sio ufisadi ni ujambazi'
 
We weka bandiko unatafuta mdada... Watakuja tu. Acha kuzunguka bila sababu...
Post zingine ata si za kuleta JF jamani!
 
mshukuru Mungu huwezi jua anakuepusha na nn
 
Reactions: Auz
Wewe sio askari utakuwa ni mgambo, au itakuwa huna malinda
 
Kwa hiyo huwa unasafiri kwenda kwenu ukagegede halafu unarudi maskani!? Au unafanyaje Mkuu miaka 15 ya ugwadu si mchezo ati!

Nimefika Dar es salaam 2002 lakini hadi Leo sijawahi sex na MTU katika ardhi ya DSM wala kuingia guest
 
Kwa hiyo huwa unasafiri kwenda kwenu ukagegede halafu unarudi maskani!? Au unafanyaje Mkuu miaka 15 ya ugwadu si mchezo ati!
yani labda mi na tatizo kufungia safari mbunye any way
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…