Nimetembelea mkoa wa Geita na wilaya zake, mwezi wote huu.
Katoro ni mji ambao umenishangaza sana, mji Unajengeka kisasa, Una majengo ya kifahari, centre Yao imechangamka kuna mzunguko biashara na muingiliano WA watu WA kutosha.
Sikuwa na wazo na kununua kiwanja Huku Geita, imenibidi ninunue maeneo hapa, na bei yake imechangamka ni Sawa huko mjini.
Naamini ule uwanja WA ndege WA Chato magufuli angeujenga hapa abiria wangekuwa WA kutosha kuliko kule Chato.
Katoro bonge la mji, Japo sio mkazi wa Huku Ila lazma nijenge Huku ili niwe nakuja kupumzika likizo.