Haya mambo ya dot com bwana, unaweza kukuta Preta ni dume au mama wa miaka 50 na kaka Kiiza teeneager. Haya Preta kazi kwao.
Please peleka ujumbe!!Haya sasa wapi Preta_bahati hii huku!
siyo kwamba naukanya nikwamba kila mimi ninapotembea ninapotakakukanyaga naona alama ya moyo umeandikwa Preta!!Sasa we tena unaukanyaga moyo wa mwenzio? teh! teh! teh! teh! Preta mamii njoo umsikilize kakakiiza amekudondokea!
Mimi ndo nimempenda yeye atajipanga mimi wote abiria wangu sijipangi jinsia!!!lol!Haya mambo ya dot com bwana, unaweza kukuta Preta ni dume au mama wa miaka 50 na kaka Kiiza teeneager. Haya Preta kazi kwao.
Na wewe hii ndo nini??Ndio nini hii?
Mwambie hapa ni full hilo sitatizo ili mradi nimpate Preta wangu!mmh! hii ni ijumaa.... haya preta bahati hiyo ijumaa ya mwisho wamwezi imekukalia pouwa ushindwe wewe
Mimi ndiyo nikijana wewe uliambiwa vijana handondokei??Ila mimi sitaki kulelewa!!mmmmmmmmh jamani mbona mi sielewi haya mambo. Mambo ya vijana hayo.mmmmmmmh
Haya sasa wapi Preta_bahati hii huku!