Nimefika Mathare- Nairobi Duh!

Mimi ni mkazi wa Dar, Dar hamna nyumba za full mabati. Una lako jambo! Alafu Hiyo picha ya K'koo mbona inaonyesha kabisa kuwa taka zimekusanywa kwa ajili ya kuzolewa? Acha hizo!
 
Naona hujaelewa lengo la mleta uzi, unaleta ligi ya kijinga! Kibera na Mathare nao walitakiwa waishi kwenye makazi kama haya. Usisifie ujinga!

Tanzania Children Outside Small Home
kawaida mtanzania akilemewa na mada JF ni kutoa pofu na matusi ya peni mbili size ya bongo na IQ ya chini!
 
kunaitwa kuishi kwa denial!!!!

maskani yake, Temeke jijini Dar es Salaam. Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

Hujitambui, naona unaleta ligi ya kijinga! Sio ligi hii, tunaongelea ukweli. Ungekuja na mbinu gani zitumike na wakazi hao wa Mathare na Kibera na wengine ambao wanaishi mazingira kama hayo wanawezaje toka ktk hali hiyo. Tz kuna maskini, ila NAKUHAKIKISHIA hamna makazi kama hayo Dar, sijui mikoani ila bado nina uhakika hamna kitu kama hiki.
 
naona yamebaki machozi.hapa jf utalia kaka!
 
[TABLE="width: 95%"]
[TR]
[TD="class: txt18, align: center"]Tanzania-Dares Salaam-Metal tin sheds
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 95%"]
[TR]
[TD="class: sj11"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 60%, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 95%"]
[TR]
[TD="class: p1"]

Poor people live in metal tin sheds in a "village in city" in Dares Salaam, the capital of Tanzania April 3, 2011. Due to high unemployment, many people live hard lives in slums in the city.

[h=2]KENSUP: Inside the Ministry-On Site in Kibera[/h]Posted March 19, 2013 by Muungano Support Trust Bulletin in Uncategorized. Comments Off

2 Votes

Courtesy of the nairobistudio.blogspot.com
Kibera Decanting Site
The Kenya Slum Upgrading Programme (KENSUP) is a poverty alleviating Programme, aimed at addressing the challenge of housing affecting the majority of the urban population who live in informal people settlements.

KIBERA SLUM UPGRADING PROGRAM BY THE GOVERNMENT OF KENYA

Hiyo pic no.1 ni mabehewa ya tren yasiyotumika yamepangwa au macho yangu...???
 
Huyu mkenya naona kama amechanganyikiwa.
 
Kuna jamaa humu alishawahi kusema kwamba "ukishakuwa mkenya tu automatically lazima uwe na mtindio wa ubongo"
 
Kuna jamaa humu alishawahi kusema kwamba "ukishakuwa mkenya tu automatically lazima uwe na mtindio wa ubongo"
Sishangai kabisa. Si unaona sasa, yaani hapa tunajadili Mathare wao wameshaanza kubandika mapicha ya maghorofa ya kifahari ambayo hayana uhusiano kabisaa na kitu tunachojadili. Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana.
 
Sishangai kabisa. Si unaona sasa, yaani hapa tunajadili Mathare wao wameshaanza kubandika mapicha ya maghorofa ya kifahali ambayo hayana uhusiano kabisa na kitu tunachojadili. Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana.

bado sana waite ndugu zako wote wachangie jeshi la kuleta mada za league hapa. mwenzenu ameanzisha ligi mnalalama nini!!!!!!!!
haya mtayajadili vile vile.hamna pakujificha......

TANZANIA

Poor sanitation situation, Tanzania by Sustainable sanitation

Pit latrine in Tandale, Dar es Salaam by Sustainable sanitation

Sewage in the street in Tandale, Dar es Salaam by Sustainable sanitation

Tandale026 by Sustainable sanitation, on Flickr

DSCN0046 by markiliffe
 
bado sana waite ndugu zako wote wachangie jeshi la kuleta mada za league hapa. mwenzenu ameanzisha ligi mnalalama nini!!!!!!!!
haya mtayajadili vile vile.hamna pakujificha.....
Utarudia rudia haya mapicha mpaka utachoka. Tena afadhali sasa naona hata hicho kizungu chako uchwara umeamua kukitupilia mbali manaake umezidiwa.
 
bado sana waite ndugu zako wote wachangie jeshi la kuleta mada za league hapa. mwenzenu ameanzisha ligi mnalalama nini!!!!!!!!
haya mtayajadili vile vile.hamna pakujificha......

Wewe kweli mpuuzi, watu wanaleta Aerial view za SLUM wewe unaenda kupiga picha za nyumba zilizoko pembeni ya mifereji ya maji machafu

TANZANIA

FYI, this pic was taken in an area called "kwa mtogole" which borders with Kijitonyama kwa alimaua area.

This area looks like this

No one who lives in Mathare can afford to rent there.
Poor sanitation situation, Tanzania by Sustainable sanitation

Pit latrine in Tandale, Dar es Salaam by Sustainable sanitation

Sewage in the street in Tandale, Dar es Salaam by Sustainable sanitation

The house near the Dump site is probably worth half the street net worth of Mathare, and by that i mean people's year;y incomes not the sorry place they are in.
Notice the house has DSTV?that's another $50 a month in luxury service most Kenyans won't afford because they are stuck in analogue. How is that digital migration going? Do they have DSTV in mathare? The aerial view only gives Chang'aa pubs
 
Kenya uchumi wao unashikiliwa na wachache wenye hela zao....millions of them ni walalahoi below the poverty line hata chakula ni shida kwao!

Lakini watakutambia eti angalau wao wanazungumza kiingereza vizuri kuliko watanzania; ingawa ni wazi kabisa "wanakufa na tai shingoni". Hawa jamaa ni kituko!

Ni hatari aisee...duh!!:flame:

Si unaona sasa jamaa wanasuasua kuchangia hii mada, manaake wanajua wazi kabisa huu ni ukweli mtupu.

Washtuliwe waje hapa...kuuwa soo wataanza kusema "ati nyie watz ni wa bongolala sana.......

Na hapohapo tunasema Serikali ya CCM is nothing! Tunaitendea hakhi kweli Tz?

USHAURI; Harakati tufanye.Lakini sio kwa moto,kashfa na matusi ninayoyaona na kuyashuhudia mitaani dhidi ya Utawala wetu wa Tz.

#BEWARE !
 
Hapo na "Kwa Mfuga Mbwa" wapi afadhali?

Kwa mfuga-mbwa pako matawi sana mkuu! Angalau kuna hata mfereji technical na majitaka yamedhibitiwa.

Je huko Kenya? (rejea picha hapa chini)!!!
 
Attachments

  • 1420932054045.jpg
    13.5 KB · Views: 196

Tanzania Children Outside Small Home
kawaida mtanzania akilemewa na mada JF ni kutoa pofu na matusi ya peni mbili size ya bongo na IQ ya chini!

Hehe,

kweli mungiki umekamatika.

naona utatuletea picha za vibanda vyote vya Dar. Hujagundua kuwa hauna picha hata ya mtaa mmoja tu wa "slum" ya dar inayofanana na Mathare?

sasa ngoja nikuewee baadhi ya picha za Tandale uone tofauti ya Mathare na maeneo ambayo unaamini ndio slums Dar.

Average Tandale street

Tandale center.Sokoni Tandale

This road is now tarmacked and looks like this

That elusive view of Tandale area. Suprised?

Proper Roads, constructed in Tandale you despise so much, Imagine this is the worst area you can find in Tanzania.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…