Nimefika Mathare- Nairobi Duh!


weweeeeeeee!!!!

Mupe MATOFARI huyo maskini wa Kenya.

Their slums are totally rotten (both with the dwelling residents with in). Dey' can't tell us any thng with it.
 
And this is your favorite Tandale place, where all zoomed photo's of the area are taken during floods. That bridge is called Mto Ng'ombe bridge towards Kijitonyama ward. Anyone who takes shortcut from Morogoro road/magomeni area to kijitonyama/mikocheni knows the area.

 

Hili boda ukiishiwa nauli lazima ulijue.

Kuna jingine kama hili unatokea Muhimbili inakuja kuibukia Migomigo kama kanisani RC huku.

Ukiwa kwenu friji open maboda kama haya huwezi kuyajua.

Umenikumbusha mbali sana na maboda haya.
 
weweeeeeeee!!!!

Mupe MATOFARI huyo maskini wa Kenya.

Their slums are totally rotten (both with the dwelling residents with in). Dey' can't tell us any thng with it.





Arusha's urban

 
Arusha's urban













Arusha's urban




Kweli huyu mungiki ovyo..Unapiga chang'aa nini?
 





Arusha's urban


Post pictures of Tanzania SLUM you Id*ot dimwit not pictures of poor people's homes.

We have been made aware of Mathare mess and everyone is in shock of how pathetic the situation is. Your claim that Tandale is similar to Mathare have now fallen flat after being shown pictures of Tandale streets.

I see you you are now posting pictures of upcountry villages after realising that Tanzania Slums won't look like Mathare ever.
 
duu siamini ninachokiona hali ni mbaya sana Afrika,Kenya hali ni mbaya zaidi sababu ata chakula ni shida na hivyo vibanda mfano tu kibera tu kuna wakazi zaidi ya laki 3 na wanaishi maisha ya kubahatisha sana .

kenya ata kupata ardhi ni shida,tanzania iko bwerere tu.Kenya matajiri wachache ndio wamejimilikishia Kenya.

Ndio maana watu wamekuwa makatili uko kuuwa mtu ni kama wanaua mbu
 
Naona hata kile kiingereza chako safari hii umekitupilia mbali, manaake ukweli unauma (mchungu).

Kama nilivyosema mbeleni utumiaji wa kiswahili hunizembesha kimawazo maana lazima nitafsiri kibinafsi kwa lugha mbili au tatu kabla ya kuandika, siabudu Kingereza kama unavyoabudu kiswahil; naelewa kuwa lugha yoyote ipo kwa minajili ya mawasiliano.
 
Kama nilivyosema mbeleni utumiaji wa kiswahili hunizembesha kimawazo maana lazima nitafsiri kibinafsi kwa lugha mbili au tatu kabla ya kuandika, siabudu Kingereza kama unavyoabudu kiswahil; naelewa kuwa lugha yoyote ipo kwa minajili ya mawasiliano.
Nadhani umenielewa.
 
Nina uhakika you couldn't say zembesha if u used germany, huko sio kuzembesha mkuu, that is just multitasking of a brain, which is infact good for the brain sometimes, u know. You enrich yo brain with that white matter, if u think much.
 

Your head is totally empty... it seems you can't differentiate between Natural disaster and Makazi asilia.
 

Maeneo yote uliyo taja yana idadi ya watu ambao ni nusu tu ya wale waishio Mathare, and still hawa wakwetu makazi yao yana afadhali.. ile picha ya mathare ya kwanza kabisa imenitisha sana.. hadi nikapata huruma juu yenu.
Hii Mathare must be containing like 30% of Kenyas' population.
 

Ndg.usilete ulinganifu wa mafuriko na halisi, imagine hapo Mathare na kwingine patokee mafuriko si inakuwa ni jehanamu?!
 

Kwanini unaleta picha ya poor household... just leta picha inayoonyesha SLUM inayolingana na Mathare / Kibera.
 

Politics at work.... lol.
 

Maneno ya mkosaji.... lol.
 
Your head is totally empty... it seems you can't differentiate between Natural disaster and Makazi asilia.

Huyu naona atakuwa ni dogo fulani. Naona kaweka na picha za Kariakoo wamekusanya taka ili zije chukuliwa na gari taka, yeye anadhani ndo ziko hapo kila siku. Ni dhahiri shahiri HAWEZI tofauti baadhi ya vitu na makazi asilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…