Nimefika Mathare Nairobi yaani niliyoyaona ni bora hata Kibera mara 100! Maisha yangu yote nilifikiri Slums nairobi ni Kibera tu kumbe kuna eneo lingine linaitwa Mathare, jaribu kutembelea hapo siku ukiwa Nairobi huwezi amini jinsi wanavyoishi, duh!
View attachment 217407
Niliwahi ambiwa Kenya ina watu wachache ndo wanameshikilia mema ya nchi, sasa naanza pata picha halisi.
hapo kuna watu wamejikatia tamaaa wakipata chance wanalianzisha
Ni kwamba,nusu ya ardhi yote ya kenya inamilikiwa na Rais Uhuru Kenyata na kwa sheria za Kenya kuhusu ardhi ni kwamba ardhi inamilikiwa na individual na sio public kama ilivyo Tanzania. Hapo unategemea nini kama nusu ya ardhi ya nchi nzima inamilikiwa na mtu mmoja?

Si unaona sasa jamaa wanasuasua kuchangia hii mada, manaake wanajua wazi kabisa huu ni ukweli mtupu.
Washtuliwe waje hapa...kuuwa soo wataanza kusema "ati nyie watz ni wa bongolala sana.......
Lakini watakutambia eti angalau wao wanazungumza kiingereza vizuri kuliko watanzania; ingawa ni wazi kabisa "wanakufa na tai shingoni". Hawa jamaa ni kituko!
Niliwahi ambiwa Kenya ina watu wachache ndo wanameshikilia mema ya nchi, sasa naanza pata picha halisi.
hapo kuna watu wamejikatia tamaaa wakipata chance wanalianzisha
Si vibaya kujifariji. Dunia nzima inajua hakuna masikini Kenya, kwa hiyo hauna haja ya kupapatika.Mbona watanzania mnapenda kujidanganya sana. Ukiona kitu kizuri kwenu, unafkiria hakuna chegine kama hich africa.......
Wa Tz mjifundishe kufanya reasearch kabla kufungua mdomo, Jueni maendeleo ya nchi za kiafrica ndo mjue mko nyuma kiasi gani, si kutegemea udaku na hear-say alafu wengine wenu mnafkiri watanzania wengi zaidi wako na afadhali, ilhali watanzania wako nyuma zaidi kwa umaskini kushinda Kenya. Ngoja ni wa funze Kuhusu nchi yenu, ukilinganisha na Kenya.....
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Item by (2013)
[/TD]
[TD]Tanzania
[/TD]
[TD]Kenya
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Population approx[/TD]
[TD]50 million[/TD]
[TD]45 million[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]% of people below poverty line (2013)[/TD]
[TD] 65% poor[/TD]
[TD] 42% poor[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dollar Millionnaires[/TD]
[TD]5,200[/TD]
[TD] 8,400[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]% of middle class (2011)[/TD]
[TD]12.1[/TD]
[TD]44.9%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]litaracy rates (2013)[/TD]
[TD]69.40%[/TD]
[TD]85.10[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Life expectancy[/TD]
[TD]61.24 yrs[/TD]
[TD]63.52 yrs[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]People living with HIV (2012)[/TD]
[TD]1.472 million[/TD]
[TD]1.646 million[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]HIV/AIDS deaths per year (2012)[/TD]
[TD]80,000[/TD]
[TD]57,500[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kwahivyo, kwa ufupi, watanzania wengi zaidi ni maskini hohehahe, Na tanzania haina middle class wengi, either mtu ni tajiri zaidi, ama ni maskini mlala hoi, ilhali Kenya iko na raiya wengi zaidi ambao wanaeza jimudu kimaisha (middle class).
allAfrica.com: Tanzania: 65 Per Cent of Tanzanians Live Below Poverty Line
allAfrica.com: Kenya: Poverty Levels in Kenya Dropping - World Bank
East Africa’s growing middle class hits 29 million - News - www.theeastafrican.co.ke
Hata mutuonyeshe Mathare ngapi, bado haitageuza ukweli kwamba watanzania wengi zaidi ni maskini
Usicheke mwenzako akivuliwa shati wakati we uko uchiSi vibaya kujifariji. Dunia nzima inajua hakuna masikini Kenya, kwa hiyo hauna haja ya kupapatika.
Maskini wakenya hana matumaini bora mask
ini wa bongo[/who are you to decide
Nimefika Mathare Nairobi yaani niliyoyaona ni bora hata Kibera mara 100! Maisha yangu yote nilifikiri Slums nairobi ni Kibera tu kumbe kuna eneo lingine linaitwa Mathare, jaribu kutembelea hapo siku ukiwa Nairobi huwezi amini jinsi wanavyoishi, duh!
View attachment 217407View attachment 217408View attachment 217409View attachment 217410View attachment 217411