Nimefika Mathare- Nairobi Duh!

Kama maisha yenyewe ndio hayaaa bora nizamie niende ulayaaaa dah r.i.p john walker
 





Mkuu ni kweli kabisa Dar haina style hiyo ya kupaua nyumba.Alafu amegoogle sehemu zenye uchafu (madampo ya muda/vizimba vya kukusanyia taka kama hii picha ya Mwembe Yanga hapa chini.As long as i know sisi tuna nyumba karibu tu hiki kizimba thamani yake inazidi milioni 160 za kitanzania(US dollar 76,500) sidhani kama slum zao zina cost hiyo hela.Isitoshe nyumba za maeneo hayo ni zaidi ya milioni 20 za tz


Hapa ni kizimba cha uchafu mwembe yanga sio slum.Hizo nyumba za mbele bila us dollar 75,000 hupati
 
Sasa unaringia kuuza nyumba au unaringa na huo uchafu hapo!?. Ungekuwa na akili na jamii yako mngetoa huo uchafu hapo angalau magonjwa yapungue na hygiene iongezeke kuwa poa.

Kitu kingine thamani ya ardhi ya Tz na kenya zinatofautiana kutokana na sababu nyingi tuu. Nyinyi kuuza ardhi kwa thamani hiyo ni kutokana na asili ya higher classes kumiliki sehemu kubwa so ni watu wachache wanao miliki ardhi hapo mjini na wengi wao wanapanga tuu nyumba. So mtu wa chini kupata ardhi nikama lulu vikee.

Nimepita sehemu Thika road nikaonyeshwa maeneo ambayo bado ni bikra kabisaaa makubwa kinomaa, wanao miliki pale nikaambiwa ni wenye nchi yao bwana. Sasa nawewe ukiwa na kijisehemu kiduchu hapo unajikuta wewe kama vile member of parliament.

Kupata ardhi kwenu huko sometimes unaunganisha wizii, ubabe, hadi kauchawi kidogo kuwa hibernate watu wasistuke.


Point ni kwamba hata kama hilo eneo ni expensive safisheni hapo na muache kujisifia na mauchafu .... nyangafuuuu
 
Pita dar Leo, utatamani kulala darajani,
 
Lakini watakutambia eti angalau wao wanazungumza kiingereza vizuri kuliko watanzania; ingawa ni wazi kabisa "wanakufa na tai shingoni". Hawa jamaa ni kituko!

Sasa hicho kiingereza kinawapa chakula? Mpango mzima ni pesa kuliko kujua kiingereza halafu njaa kali.
 
Kutokana na ugumu wa maisha nchini Kenya na wengi kuonekana walalahoi asilimia kubwa wakenya wamejiunga na freemasonry chunguzeni mtaona matokeo. [emoji51] [emoji16] [emoji16] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…