nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
kiuno kinakatwa si masihara tayari nishahonga mshaharaVerse ya 4 tia tia tiara
na hiyo hotel ipo kweli pale nyegezi stendiKumbe kibwagizo wewe hukukisikia,
"Karibu na stendi ya nyege nyege nyegezi kuna hoteli moja inaitwa **** **** kumalija, wanatoa hadi vyumba vya nyuma.
Ni balaa hili songi.
HahaaVers ya tatu ... Kundu kundu kunduchiiiiii mitaro misafi ipo kwetu kundu kundu kunduchiiiiii
karibu mbozi tunakula pozi na kina rose,chuchu saa sita nyuma pwatapwataMb**ooo mb***oooo Mboziiiiii