Nimefika wilaya ya kisarawe sijapaelewa kabisaa

Moneyowner

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,423
Reaction score
1,252
Enyi wanakisarawe hii wilaya yenu vipi. Yaani mnazidiwa hata na chanika mwisho kwa mishemishe pamepoa saana.
 
Hahaa ni kijijin balaa ,udongo mwekundu hatari,hakuna maduka ya maana ,niliwahi kufika kwa jokate na hospital hapo nikaishiwa nguvu
 
Ungesogea mbele
Masaki,maneromango,mzenga na msanga huko ndipo wanakisarawe tunapatikana
Haya magari yaliyoandikwa masaki kutoka GOMZ? Maana pale kisarawe nwisho sijaona usafiri wa kwenda sehemu ingine. Labda kama ni bodaboda.
 
Enyi wanakisarawe hii wilaya yenu vipi. Yaani mnazidiwa hata na chanika mwisho kwa mishemishe pamepoa saana.

Wazaramu ni sawa na Waha tu, yaani wao hawapendi maendeleo kazi ubishi tu na udini usio na tija kwao. Yaani pale Jokate ana kazi kubwa sana ya kufanya, kushawishi nduguze Waziri Jafo kupenda kusoma na kujiendeleza ni kazi kubwa sana. Mtoto anakuambia sitaki kwenda shule leo, nakwenda madrasat na mzazi anaona sawa tu.
 
Wazaramooo amkeni kumekuchaa
 
Tuambie kwanza na wewe ni mwenyeji wa wapi ili twende sawa.....maana ulivyoandika tu unaonekana umekuja mjini 2010 kuja juu....hujui kitu....
 
Utapaelewa tu baada ya muda mfupi, maana wazaramo wanauza ardhi kwa kasi sana kuwapisha waleta maendeleo toka mikoa mingine, wenyewe wanaenda kufanya kazi za ndani kwa wadosi.
 
Back
Top Bottom