Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,423
- 1,252
Ulifanikiwa kumuona muheshimiwa?Enyi wanakisarawe hii wilaya yenu vipi. Yaani mnazidiwa hata na chanika mwisho kwa mishemishe pamepoa saana.
Unajua kabila la hapo?usihoji tenaEnyi wanakisarawe hii wilaya yenu vipi. Yaani mnazidiwa hata na chanika mwisho kwa mishemishe pamepoa saana.
Hapana, da ila namna palivo jokate haumizi kichwa kuongoza ni kijiji siyo wilaya.Ulifanikiwa kumuona muheshimiwa?
Kabila gani hilo mkuu? Aha ha ha aUnajua kabila la hapo?usihoji tena
Ulifanikiwa kumuona muheshimiwa?[/QUO]
Na hapo ipo karibu kabisa na jiji la sali daram. Sijui ingekuwa ndiyo ipo huko bara ingekuwaje!
Makao makuu yanahamishiwa Maneromango.Enyi wanakisarawe hii wilaya yenu vipi. Yaani mnazidiwa hata na chanika mwisho kwa mishemishe pamepoa saana.
Haya magari yaliyoandikwa masaki kutoka GOMZ? Maana pale kisarawe nwisho sijaona usafiri wa kwenda sehemu ingine. Labda kama ni bodaboda.Ungesogea mbele
Masaki,maneromango,mzenga na msanga huko ndipo wanakisarawe tunapatikana
Ebu nipe ramani mkuu, ila pale stand ya sasa siyo.Utapaelewaje wakati we mkimbiz
Kumbe hujawahi fika aisee kumedorora Km kunamsiba wang'ombe waa kijijiEnyi wanakisarawe hii wilaya yenu vipi. Yaani mnazidiwa hata na chanika mwisho kwa mishemishe pamepoa saana.
Hivi Miono nayo ipo Kisarawe?Masaki,maneromango,mzenga na msanga huko ndipo wanakisarawe tunapatikana
Enyi wanakisarawe hii wilaya yenu vipi. Yaani mnazidiwa hata na chanika mwisho kwa mishemishe pamepoa saana.
Sidhani maana ipo huko baada ya msata.Hivi Miono nayo ipo Kisarawe?
Wazaramooo amkeni kumekuchaaWazaramu ni sawa na Waha tu, yaani wao hawapendi maendeleo kazi ubishi tu na udini usio na tija kwao. Yaani pale Jokate ana kazi kubwa sana ya kufanya, kushawishi nduguze Waziri Jafo kupenda kusoma na kujiendeleza ni kazi kubwa sana. Mtoto anakuambia sitaki kwenda shule leo, nakwenda madrasat na mzazi anaona sawa tu.
Tuambie kwanza na wewe ni mwenyeji wa wapi ili twende sawa.....maana ulivyoandika tu unaonekana umekuja mjini 2010 kuja juu....hujui kitu....Wazaramu ni sawa na Waha tu, yaani wao hawapendi maendeleo kazi ubishi tu na udini usio na tija kwao. Yaani pale Jokate ana kazi kubwa sana ya kufanya, kushawishi nduguze Waziri Jafo kupenda kusoma na kujiendeleza ni kazi kubwa sana. Mtoto anakuambia sitaki kwenda shule leo, nakwenda madrasat na mzazi anaona sawa tu.