Ndala ndefu
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 237
- 42
Habari! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Ni mkristu pia naishi na kufanya kazi mkoa wa Mwanza, elimu yangu ni degree ya kwanza kwasasa. Kuhusu kabila ni mhangaza. Nachukua fursa hii kutoa hitaji langu la mchumba kwani ni muda muafaka wa mimi kuwa na familia, sifa za binti ninaemhitaji kwanza awe anajua nini maana ya maisha, awe mcha mungu, awe mweupe au maji ya kunde, asiwe mrefu sana na pia asiwe mnene na mwisho asiwe anatumia pombe kupita kiasi au kuvuta sigara. Atakaekuwa interested ani PM, msilete masikhara ktk uzi huu pliiiiiz!