Ndala ndefu
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 237
- 42
Hahahaha!!!pole smile ,huyo nae alikuwa na lake,hajui ujotojoto adimu cku hizi,huu unene huu umenikosesha mume
huu unene huu umenikosesha mume
Jaribu bahati kila mtu ana reference yake, anaposema unene ni with reference to some one, so wewe unaweza kuwa sio mnene wa kumtisha.
Pia mwisho wa siku hawezi kupata mtu ambaye ana fulfill hivyo vigezo vyote alivyotaja, hivyo basi unajikuta kumbe wewe probability yako ya ku win hiyo tenda ni kubwa kuliko wengine, so try.
kwanini kujilazimisha bwana? atakuja tu anaenitaka acha niwait
Sawa tu haina shida, dada Smile haya mambo yapo tu, na kila jambo na wakati wake, na kila shetani na mbuyu wake. Siku ikifika ahhh, unashangaa tu kila kitu kinajipanga chenyewe, unaweza hadi jiuliza siku huyu alikuwa wapi siku zote hizo.
atakuja tu anaenitaka acha niwait, ni imani nzuri sio mbaya, maana unakoishi, unakofanya kazi, unapotembelea, unapopata mahitaji ya lazima na nk, kote watu wanakuona na kukufahamu hivyo ni kweli watakuja, ila wakija kama wana vigezo wapokee, usijesema ningejua,...........
It's good to test a guy first before you believe him. But don't let him wait that long....(Smile)
ahahaaa ni kujipanga tu aisee...usijali kila kitu kipo undercontrol in JESSUS NAME
huu unene huu umenikosesha mume
huu unene huu umenikosesha mume
huu unene huu umenikosesha mume