Nimefikia muda wa kuoa, nakosa mke mwenye sifa zifuatazo

ukitaka pata mke wa namna hiyo nenda kakate mgomba uweke geto kwako toboa katobo pale katikati ndo uwe mke unayemtaka
 
Ujui unachokitaka, na kwa haraka haraka mwenye matatizo ni wewe

Wanaume wenye tabia ya kuacha acha huwa wao ndo tatiZo

Kuchukuliana nayo ni tabia, sasa wewe uwezi kuchukuliana na mapungufu madogo madogo hivyo je makubwa utawezaaa?

Aisiye na upungufu, labda umuumbe wewe mwenyewe.
 
Kijana ww Kwa umri bado Mdogo Komaa na Maisha kwanza yakae Fresh kabisa umri ukifika hata 28 ndio uanze issue za kuoa
 
hapa mwenye shida ni wewe lazima maana hakuna kijana alie timamu kichwani akawa anashabikia ccm............


wewe inaonekana ni boya flani hv usiejielewa ndio maana huwezi hata kupata mchumba! kijana unashabikia ccm kumbe hata kuoa bado? si utakua mchawi ukubwani?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji870]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…