run CMD
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 3,185
- 3,909
kuna haja mashirika wanaita ya kimataifa na mishahara yao ipo na jina mfano grade P3 unapata ni hela ndefu kwani pia wanalipwa kwa dola..sasa kuna wale wamekuja kutoka nchi fulani let say west african or other countries lakini anamaisha ya kawaida sana yaani hajaendani na mshahara anaolipwa wengine wana vigari kama ist au suzuki ambacho mwalimu akajipanga anamiliki bila shida..
sasa huwa najiuliza tatizo lipo wapi je makato yao yapoje?
maana nimetokea kuwafahamu siyo mmoja ni kadhaa ila naona hawapishana sana na watumishi waumma nasemea hasa wageni sio wenyeji
sasa huwa najiuliza tatizo lipo wapi je makato yao yapoje?
maana nimetokea kuwafahamu siyo mmoja ni kadhaa ila naona hawapishana sana na watumishi waumma nasemea hasa wageni sio wenyeji