Nimefikisha miezi miwili ya kufanya mazoezi bila kutumia vyuma vizito, nafanyia home tu

Push up round 10@ reps20
Squat round 10@ reps 20
Squat left leg round 10@ reps20
Squat right leg round 10@ reps20
Trycep round 10@ reps20
Kukata tumbo 10@ reps20

= reps 1200

1 hour
Hiyo 10@ reps 20 maana yake ni nini? Tafadhari turahisishie maelezo tuelewe. Asante.
 
Fafanua hapo mwisho jamaa hana pumzi
Namaanisha stamina, kwa zoezi unalofanya ni kweli utakuwa na muonekano wa mwili wenye afya ila nikikupeleka uwanjan wa mpira ukazunguke mara 2 tu, ulimi wako utagusa mchanga kwa kuchoka.
 
Inawezekana ila kaweka na fiks kidogo, kupiga hii show ya 1200 alafu btn reps ni 5-10 sec, even the fittest modafanta will have his ass sweating!
Mkuu hivi vitu ukiamua unaenda,, [emoji16]

Ndani ya zoez moja unaenda labda katika kubadiri zoez unaweza vuta pumz baada ya dk 3-5
 
Mkuu hivi vitu ukiamua unaenda,, [emoji16]

Ndani ya zoez moja unaenda labda katika kubadiri zoez unaweza vuta pumz baada ya dk 3-5
Mzee! Hiyo 10@ reps 20 maana yake ni nini? Tafadhari turahisishie maelezo tuelewe basi. Asante.
 
Mkuu hivi vitu ukiamua unaenda,, [emoji16]

Ndani ya zoez moja unaenda labda katika kubadiri zoez unaweza vuta pumz baada ya dk 3-5
Hapo sawa, kwa 3-5 minutes kati ya zoezi na zoezi inawezekana. Nilidhani kati ya zoezi na zoezi pia ni 5-10 sec.
 
Nlisahau kuweka hii ndo maana ukastuka, pamoja mkuu[emoji16]

Nawe vp unapga
Mkuu! Mbona kimya? Nasubiri jibu nianze mazoezi usiku huu huu!
Hiyo 10@ reps 20 maana yake ni nini? Tafadhari turahisishie maelezo tuelewe.
 
Mzee! Hiyo 10@ reps 20 maana yake ni nini? Tafadhari turahisishie maelezo tuelewe basi. Asante.
Kwa mfano ktk push, mtu akikwambia piga push up 20 maana yake umeenda reps 20 kwa round 1,
 
Mkuu! Mbona kimya? Nasubiri jibu nianze mazoezi usiku huu huu!
Hiyo 10@ reps 20 maana yake ni nini? Tafadhari turahisishie maelezo tuelewe.
Nlikujibu hapo juu,,

10 ni round
20 reps ni kule kuinama na kunyanyuka ukiwa ktk push up ama zoez lingini
@ ni mara au kuzidisha
 
Mkuu [emoji16] fanya asubuhi
Sawa mkuu. Nashukuru kwa ushauri, lakini hawa wala bwimbi wanasumbua sana kule uswazi. Wanaiba mapipa ya taka, wanaiba ndoo za kuogea na ukianika suruali yako iliyo toboka na vilaka wanakomba pia. Sasa hii push up na squatting itaishia kwao [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…