1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
-
- #141
Ni vizuri utume na picha ili taaarifa iwe kamilifuPush up, skwash, kukata tumbo,trycep
Hii ni endelevu,, siwezi acha,, nimeona faida zake lukukiHongera...liwe zoezi endelevu sio la kuzugia!
Hivyo vitu mi silagiUnapohisi njaa ni vyema kula ndizi mbivu au kutafuna karanga mbichi, na matunda mengineyo.
Usiagize soda
Jaribu na kuruka kamba ili uongeze pumzi.Push up round 10@ reps20
Squat round 10@ reps 20
Squat left leg round 10@ reps20
Squat right leg round 10@ reps20
Trycep round 10@ reps20
Kukata tumbo 10@ reps20
= reps 1200
1 hour
Picha hapana mkuu,Ni vizuri utume na picha ili taaarifa iwe kamilifu
Vya super mkt?Hivyo vitu mi silagi
Karanga mbichi sijui ndizi ntatapika!Vya super mkt?
Kamba nitaanza hivi punde, usijali mkuuJaribu na kuruka kamba ili uongeze pumzi.
Hivi kuruka kamba zaidi ya pumzi inasaidia nini? Mi naruka kamba 500 @ morning!Kamba nitaanza hivi punde, usijali mkuu
Weee hujui kuziandaa,,Karanga mbichi sijui ndizi ntatapika!
Hivoo?...asante ntajaribuWeee hujui kuziandaa,,
Nenda sokoni nunua kilo moja ya karanga zilizokaushwa,, ni kama elfu 2500 bei yake,,
Rudi home zioshe alafu ziloweke na maji ya chumvi hata kwa dakika 10, alafu zitoe na uzianike juani hadi zikauke, baada ya hapo, uwe unatafuta, hutojuta yaaaaaan
Hiyo wajuzi wa mambo wanakwambia inaongeza pumzi, inapunguza uzito pia[emoji16]Hivi kuruka kamba zaidi ya pumzi inasaidia nini? Mi naruka kamba 500 @ morning!
Jaribu uone,, utashangaa marafiki wakija home ukawaonjesha wakamaliza zote [emoji16] [emoji16] [emoji16]Hivoo?...asante ntajaribu
Yes tuko wote.... Vyote nafanya ila push up hata mbili siwezi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo wajuzi wa mambo wanakwambia inaongeza pumzi, inapunguza uzito pia[emoji16]
Ila hivi karibu nitaanza kuruka kamba, kumbe nawe mdau
Haahaaa...poa poaJaribu uone,, utashangaa marafiki wakija home ukawaonjesha wakamaliza zote [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Shukrani kwa kunielewa mkuu, ni vile mwili kuwa strongKama nimekuelewa mkuu unafanya body building ,ukishayaanza mazoezi hutakiwi kuyaacha ili mwili wako uendelee kuwa fit.
Kwa kuwa KE ndo maana,, ila so mbaya hata ivo unajitahidi, warembo wengi push up kwao mtihaniYes tuko wote.... Vyote nafanya ila push up hata mbili siwezi[emoji23] [emoji23] [emoji23]