1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Mwili unakuwa strongMazoezi yana namna gani Mkuu?na wengine tujaribu kuanza!
We njoo nikufanyishe mazoezi bebee.Mazoezi yana namna gani Mkuu?na wengine tujaribu kuanza!
HahahahaWe njoo nikufanyishe mazoezi bebee.
Mimi nafanya mazoezi kila siku ya kutembea kwa mwendokasiFaida ni nyingi sanaaa,
Nasisitiza fanyeni mazOezi,
Usipate taabu, just come bebee.Hahahaha
Nakuja na mbio zotee,mazoezi yako yatanifaa sana!
hii avatar yako inasababisha Musiba anamuandama MaxenceMazoezi yana namna gani Mkuu?na wengine tujaribu kuanza!
Safi mkuu southern HighlandaJaribuni hayo walau kila siku walau raundi tatu.View attachment 1155030View attachment 1155031View attachment 1155033