Zillionaire_tz
Member
- Sep 11, 2016
- 31
- 37
Pole mnoMtaji wangu umekata mpaka kupelekea kuuza kuku wa mayai wapo 540(mia tano arobaini),bado wiki mbili waanze kutaga..nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3.
SABABU.
Hii ni baada ya kukosa hela ya kuendelea kuwahudumia baada ya kusimamishwa kazi..
Huu wakati huumiza sana Hasa kama hujajipangabaada ya kusimamishwa kazi.
Kwanini usikope jamani...?Mtaji wangu umekata mpaka kupelekea kuuza kuku wa mayai wapo 540(mia tano arobaini),bado wiki mbili waanze kutaga..nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3.
SABABU.
Hii ni baada ya kukosa hela ya kuendelea kuwahudumia baada ya kusimamishwa kazi..
Hili ni Tangazo la biasharaMtaji wangu umekata mpaka kupelekea kuuza kuku wa mayai wapo 540(mia tano arobaini),bado wiki mbili waanze kutaga..nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3.
SABABU.
Hii ni baada ya kukosa hela ya kuendelea kuwahudumia baada ya kusimamishwa kazi..
Kakope bank au taasisi za fedha zinazokopesha pesa kununua chakula cha kuku uweze kumalizia siku zilizo baki.Mtaji wangu umekata mpaka kupelekea kuuza kuku wa mayai wapo 540(mia tano arobaini),bado wiki mbili waanze kutaga..nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3.
SABABU.
Hii ni baada ya kukosa hela ya kuendelea kuwahudumia baada ya kusimamishwa kazi..
Ushauri mzuri mno, fanyia kazi.Uza robo ya kuku nunua chakula ya kuwalisha wiki hizo mbili ili mayai watakayotaga uendeleze biashara yako.
tafuta vyeti originalMtaji wangu umekata mpaka kupelekea kuuza kuku wa mayai wapo 540(mia tano arobaini),bado wiki mbili waanze kutaga..nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3.
SABABU.
Hii ni baada ya kukosa hela ya kuendelea kuwahudumia baada ya kusimamishwa kazi..
Kwahio
Kuna watu akili zenu zimejaa vinyesi
Mtaji wangu umekata mpaka kupelekea kuuza kuku wa mayai wapo 540(mia tano arobaini),bado wiki mbili waanze kutaga..nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3.
SABABU.
Hii ni baada ya kukosa hela ya kuendelea kuwahudumia baada ya kusimamishwa kazi..
Ubarikiwe sana ushauri bora sana huu, kunawatu wanaongea hovyo kama hawana akiliPole sana ndugu ila mm ninge kuwa wewe ninge uza robo ya hao arafu ninge endelea na biashara hiyo hiyo mana watakapo anza kutaga utaanza pata hela ya kukupunguzia machungu ya maisha yote kwa yote piga goti chini mshukuru Mungu na uzidi kumtu maini yeye one day uta simama tena