Nimefinywa korodani na huyu binti wa chuo

Fanya mazoezi kutoa hiyo minyama kijana, yani mwanamke aingie kwenye mahusiano ambayo awe anafikiria kuhusu ku-balance limzigo la tumbo lako kama utamuangukia! damn it!!
 
Dawa ya kukata uzito mwili mzima ni kunywa gongo. Tumia hiyo utakuja leta ushuhuda hapa.
 
 
Unyanyasaji uo. Na kwani nilazma utumie mfumo dume. Kumkandamiza mwenzako.?
 
K
Khaaa me ningevaa vzuri nikamaliza nikatoka nje kuondoka nikajifanya nmesahau kitu nikarudi ndani nikakupiga bonge bonge ya konzi na funguo alf nikakimbia.
Ngoma drooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…